Results for primiste translation from Serbian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Serbian

Swahili

Info

Serbian

primiste

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Serbian

Swahili

Info

Serbian

koji primiste zakon naredbom andjeoskom, i ne održaste.

Swahili

ninyi mliipokea ile sheria iliyoletwa kwenu na malaika, lakini hamkuitii."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Serbian

kako dakle primiste hrista isusa gospoda onako živite u njemu,

Swahili

maadamu ninyi mmemkubali kristo yesu kuwa bwana, basi, ishini katika muungano naye.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

ovo jedno hoæu od vas da doznam, ili duha primiste kroz dela zakona ili kroz èuvenje vere?

Swahili

napenda kujua tu kitu kimoja kutoka kwenu: je, mlipokea roho wa mungu kwa sababu ya kutimiza matakwa ya sheria ama kwa sababu ya kuisikia na kuiamini habari njema?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

ali vam napominjem, braæo, jevandjelje, koje vam objavih, koje i primiste, u kome i stojite.

Swahili

sasa ndugu, napenda kuwakumbusha ile habari njema niliyowahubirieni nanyi mkaipokea na kusimama imara ndani yake.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

kao što pre rekosmo i sad opet velim: ako vam ko javi jevandjelje drugaèije nego što primiste, proklet da bude!

Swahili

tulikwisha sema, na sasa nasema tena: kama mtu yeyote anawahubirieni habari njema ya aina nyingine, tofauti na ile mliyokwisha pokea, huyo na alaaniwe!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

i napasti moje, koja beše telu mom, ne prezreste, ni popljuvaste, nego me primiste kao andjela božjeg, kao hrista isusa.

Swahili

hata hivyo, wakati ule hamkunidharau wala kunikataa kwa sababu ya udhaifu wangu ingawa mlishawishiwa kufanya hivyo; lakini mlinipokea kama malaika wa mungu, kama vile ningekuwa kristo yesu mwenyewe.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

i primiste èador molohov, i zvezdu boga svog remfana, kipove koje naèiniste da im se molite; i preseliæu vas dalje od vavilona.

Swahili

ninyi mlikibeba kibanda cha mungu moloki, na sanamu ya nyota ya mungu wenu refani. sanamu mlizozifanya ndizo mlizoabudu. kwa sababu hiyo nitakupeleka mateka mbali kupita babuloni!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

gost bejah, i ne primiste me; go bejah, i ne odenuste me; bolestan i u tamnici bejah, i ne obidjoste me.

Swahili

nilikuwa mgeni nanyi hamkunikaribisha; nilikuwa mgonjwa na mfungwa nanyi hamkuja kunitazama.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

dalje, braæo, molimo vas i savetujemo u hristu isusu, kao što primiste od nas, kako vam treba živeti i ugadjati bogu, kao što živite, da bivate sve izobilniji.

Swahili

hatimaye, ndugu zangu, mmejifunza kutoka kwetu namna mnavyopaswa kuishi ili kumpendeza mungu. na kweli mmekuwa mnaishi hivyo. sasa tunawaombeni na kuwasihi kwa jina la bwana yesu mfanye vema zaidi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

toga radi i mi zahvaljujemo bogu bez prestanka što vi primivši od nas reè èuvenja božijeg primiste ne kao reè èoveèiju, nego (kao što zaista jeste) reè božiju, koja i èini u vama koji verujete.

Swahili

tena tunayo sababu nyingine ya kumshukuru mungu: tulipowaleteeni ujumbe wa mungu, ninyi mliusikia mkaupokea, si kama vile ujumbe wa binadamu, bali kama ujumbe wa mungu, na kweli ndivyo ulivyo. maana mungu anafanya kazi ndani yenu ninyi mnaoamini.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Serbian

i vi pomazanje što primiste od njega, u vama stoji, i ne trebujete da vas ko uèi; nego kako vas to samo pomazanje uèi u svemu, i istinito je, i nije laž, i kao što vas nauèi ostanite u njemu.

Swahili

lakini, kwa upande wenu ninyi, kristo aliwamiminieni roho wake. na kama akiendelea kukaa ndani yenu, hamhitaji kufundishwa na mtu yeyote. maana roho wake anawafundisheni kila kitu na mafundisho yake ni ya kweli, si ya uongo. basi shikeni mafundisho ya huyo roho na kubaki katika muungano na kristo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,778,899,159 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK