Results for automáticamente translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

automáticamente

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

todas las historias subidas a www.storymaker.cc están optando automáticamente por el premio.

Swahili

kila hadithi zinaingizwa kwenye www.storymaker.cc na moja kwa moja unashiriki katika shindano kwa ajili ya tuzo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

algunos dicen que el hogar está donde está su cama, otros argumentan que el hogar es donde su wifi se conecta automáticamente. puedo decir que el hogar es el lugar donde se transfieren sus salarios

Swahili

baadhi ya watu wanasema kuwa nyumbani ni pale palipo na kitanda chake, wengine wanadai kuwa nyumbani ni pale unapoweza kupata mtandao huru wa intaneti. naweza kusema kuwa nyumbani ni pale ambapo mishahara yako imehamishiwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

como el nombre lo implica, el estatus es temporal y no califica automáticamente a un individuo para la residencia permanente (tarjeta verde) o la ciudadanía.

Swahili

kama inavyooneshwa na muda wa hifadhi hiyo, utaratibu huo ni jambo la muda tu na haiwezi kubadilika kumfanya mtu awe na sifa za kupata ukaazi wa kudumu (kupitia mpango wa kadi ya kijani) au hata kuwa raia wa marekani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

hay algo interesante que uno nota nada más al abrir el instagram: a diario se publican este tipo de imágenes, que tienen miles de likes y son sexismo puro, pero hay obras de arte que son automáticamente bloqueadas...

Swahili

kuna jambo la kufikirisha unapofungua mtandao wa instagram: kuna picha za kingono zinazochapishwa kila siku zenye maelfu ya watu wanaoweka alama ya kuvutiwa nazo wakati kazi za sanaa zikizuiwa bila mjadala...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el bot de twitter @rugovedits , que publica automáticamente todos los cambios en wikipedia realizados por las direcciones ip del gobierno ruso, detectó cinco intentos distintos hechos por un ordenador del fso esta mañana para imponer el uso de la expresión "rebeldes".

Swahili

teknolojia ya twita ya @rugovedits, ambayo bila kuongozwa kufuatilia uhariri wowote unaofanywa kwenye kurasa za wikipedia kupitia alama za utambulisho wa kompyuta za serikali ya urusi, ilibaini majaribio saba tofauti yaliyofanywa na kompyuta za "mashushushu" wa fso asubuhi hii kuhakikisha kuwa neno "waasi" linabaki kwenye kumbukumbu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,785,171,078 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK