From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
para enviar contra ellos piedras de barro cocido,
tuwatupie mawe ya udongo,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
hemos creado al hombre de barro arcilloso, maleable,
na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
con todo, tenemos este tesoro en vasos de barro, para que la excelencia del poder sea de dios, y no de nosotros
basi, sisi tulio na hazina hii tuko tu kama vyombo vya udongo, ili ionekane wazi kwamba nguvu hiyo kuu yatoka kwa mungu wala si kwetu sisi wenyewe.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
¿o no tiene autoridad el alfarero sobre el barro para hacer de la misma masa un vaso para uso honroso y otro para uso común
mfinyanzi anaweza kuutumia udongo apendavyo na kufinyanga vyungu viwili kwa udongo uleule; kimoja kwa matumizi ya heshima, na kingine kwa matumizi ya kawaida.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
dijo: «yo no voy a prosternarme ante un mortal que tú has creado de barro arcilloso, maleable».
akasema: haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumba kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yenye sura.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
sin agua, intentaron lamer las rocas para apagar su sed, y también intentaron chupar la humedad del barro, poniendo un trozo de tela entre sus bocas y el barro húmedo.
bila ya maji walianza kufyonza mawe ili kutuliza kiu, pia walijaribu kunyonya umande kutoka kwenye matope kwa kuweka kitambaa kati ya midomo yao na tope lenye nyevunyevu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
desde un grupo femenino que dice haber hecho de mali una potencia en la industria del teñido de la tela, pasando por artistas que en bamako han encontrado un medio de subsistencia en las telas teñidas con barro, hasta la industria turística que ha crecido a raíz de este arte.
kutoka katika kikundi cha wanawake kinachodai kuwa kimeifanya mali kuwa nguvu katika nyanja ya kutia rangi nguo, mpaka kwa wasanii ambao wameamua kuufanya mtindo wa bamako au mtindo wa nguo zinazotiwa rangi kwa matope kuwa ni chapa yao, mpaka kwenye nyanja ya utalii ambayo imekua kwa njia ya hii sanaa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
el igbo, siempre práctico, lo puso concretamente en su proverbio - "onye ji onye n'ani, ji onwe ya" - el que mantendrá a otro oprimido en el barro debe permanercer en el barro para mantenerlo abajo" chinua achebe
igbo, mara zote wakiwa wahalisia, wazungumzia hili kwa ufasaha kabisa kwenye msemo wao- "onye ji onye n'ani, ji onwe ya" - "yeyote atakaye kumzamisha mwingine kwenye tope lazima na yeye awe kwenye tope hilo ili aweze kumzamisha mwingine"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting