Results for comen translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

comen

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

que sólo los pecadores comen.

Swahili

chakula hicho hawakili ila wakosefu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

en madagascar los monos se comen algunas veces como carne silvestre.

Swahili

wakati mwingine nyani huliwa na watu waishio porini nchini madagaska.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

estudiantes de un colegio hindi en las afueras de mumbai comen en el suelo sin asientos ni platos.

Swahili

wanafunzi wa shule ya kihindi nje kidogo ya mumbai wakipata chakula wakiwa wamekaa chini pasipo kuwa na viti wala bakuli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

--¿por qué quebrantan tus discípulos la tradición de los ancianos? pues no se lavan las manos cuando comen pan

Swahili

"kwa nini wanafunzi wako hawajali mapokeo tuliyopokea kutoka kwa wazee wetu? hawanawi mikono yao kama ipasavyo kabla ya kula!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

y ella dijo: --sí, señor. pero aun los perritos comen de las migajas que caen de la mesa de sus dueños

Swahili

huyo mama akajibu, "ni kweli, mheshimiwa; lakini hata mbwa hula makombo yanayoanguka kutoka meza ya bwana wao."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

quienes, en cambio, hayan sido infieles, gozarán brevemente y comerán como comen los rebaños. tendrán el fuego por morada.

Swahili

na walio kufuru hujifurahisha na hula kama walavyo wanyama, na moto ndio makaazi yao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

ella respondió y le dijo: --sí, señor; también los perritos debajo de la mesa comen de las migajas de los hijos

Swahili

lakini huyo mama akasema, "sawa, bwana, lakini hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya watoto."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

le preguntaron los fariseos y los escribas: --¿por qué no andan tus discípulos de acuerdo con la tradición de los ancianos, sino que comen pan con las manos impuras

Swahili

basi, mafarisayo na walimu wa sheria wakamwuliza yesu, "mbona wanafunzi wako hawayajali mapokeo tuliyopokea kwa wazee wetu, bali hula chakula kwa mikono najisi?"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

entonces ellos le dijeron: --los discípulos de juan ayunan muchas veces y hacen oraciones, igual que los de los fariseos, pero los tuyos comen y beben

Swahili

watu wengine wakamwambia yesu, "wafuasi wa yohane mbatizaji hufunga mara nyingi na kusali; hata wafuasi wa mafarisayo hufanya vivyo hivyo. lakini wafuasi wako hula na kunywa."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

sin embargo, no en todos hay este conocimiento; porque algunos por estar hasta ahora acostumbrados al ídolo, comen el alimento como algo sacrificado a los ídolos, y su conciencia se contamina por ser débil

Swahili

lakini, si kila mtu anao ujuzi huu. maana wako watu wengine waliokwisha zoea sanamu, watu ambao mpaka hivi sasa wanapokula vyakula huviona bado kama vyakula vilivyotambikiwa sanamu. na kwa vile dhamiri zao ni dhaifu, hutiwa unajisi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

cuando vuelven del mercado, si no se lavan, no comen. y hay muchas otras cosas que aceptaron para guardar, como los lavamientos de las copas, de los jarros y de los utensilios de bronce y de los divanes

Swahili

tena hawali kitu chochote kutoka sokoni mpaka wamekiosha kwanza. kuna pia desturi nyingine walizopokea kama vile namna ya kuosha vikombe, sufuria na vyombo vya shaba.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

enumera algunas de las razones: algunos malgaches cazan y comen murciélagos y lemures; práctican la 'famadihana', una tradición que consiste en la exhumación de los muertos de sus tumbas.

Swahili

anaorodhesha sababu chache : 1) baadhi ya walagasi huwinda na kula popo na wanyama wengine 2) kwa sababu ya famadihana, a mila ya kuwafukua wafu kutoka kwenye makaburi yao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,731,095,285 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK