From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
se le ha llamado la "mayor exportación" de corea del sur.
umekuwa ukiitwa "bidhaa kuu ya mauzo nje" ya taifa la korea kusini.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
simplemente porque tenía un cartel en el que pedía al knesset que celebrara unas vistas para tratar el tema de la exportación del gal natural...
kwa sababu tu mimi nilisimama na bango la kutoa wito kwa knesset kusikiliza zaidi maoni ya watu kuhusu kuuzwa kwa gesi asilia nje ya nchi...
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tanzania prohibió la exportación de animales salvajes después de 130 animales y pájaros, incluidas jirafas, salieron de contrabando del país.
tanzania imepiga marufuku kusafirishwa nje kwa wanyama pori baada ya takribani wanyama na ndege 130, ikiwa ni pamoja na twiga kusafirishwa nje ya nchi wakiwa hai.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
cientos de personas pacíficas que apoyaron la protesta contra las medidas de austeridad, la situación económica y la exportación del gas se encontraron con un trato violento y completamente desproporcional de la policía.
mamia ya raia wanaouguswa na hatua za kubana matumizi zinazopangwa kuchukuliwa na serikali wenye kutii sheria bila vurugu, walioamua kupinga mpango huo pamoja na hali mbaya ya kiuchumi na hatua za kuuza gesi nje walikumbana na hatua mbaya za vurugu zisizolingana zilizofanywa na polisi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
la tanzanita es un mineral muy raro que solo se encuentra en tanzania, sin embargo se considera a la india el mayor exportador de este mineral, aun cuando el gobierno de tanzania prohibió parcialmente su exportación.
tanzanite ni madini adimu yanayopatikana tanzania pekee. hata hivyo, india inafahamika kama mwuuzaji mkuu wa madini hayo pamoja na zuio la serikali ya tanzania dhidi ya uuzaji wa madini hayo nje.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
de derecha a izquierda: "bibi - ¡detén el terrorismo económico!orly en el centro: "exportación del gas = suicidio para el estado" y "recortes no en las becas para los niños"
kulia hadi kushoto: "bibi - zuia ugaidi wa kiuchumi!orly katikati: "uuzaji wa gesi nje = kujiua kwa serikali" na "tunapinga kukatwa kwa mafao ya mtoto"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting