Results for humilde translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

humilde

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

¡invocad a vuestro señor humilde y secretamente!

Swahili

muombeni mola wenu mlezi kwa unyenyekevu na kwa siri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el hermano de humilde condición, gloríese en su exaltación

Swahili

ndugu aliye maskini anapaswa kufurahi wakati mungu anapomkweza,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

es una experiencia que te mantiene humilde, pone las cosas en perspectiva.

Swahili

ni uzoefu unaokufanya uwe mnyenyekevu, na kuyatafakari mambo katika kina chake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

jomanex kasaye lo describe como un ser directo y que sabe lo que defiende. al mismo tiempo es muy humilde.

Swahili

jomanex kasaye anamuelezea abel kama mtu asiyepindisha maneno na anayefahamu fika kile anachokisimamia. na wakati huo huo, abel ni mnyenyekevu sana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

mya aye, miembro del grupo de estudiantes grupo 88, reconoció a win tin como un líder humilde y desinteresado:

Swahili

mya aye, mwanachama wa 88 generation students group, alimtambua win tin kama kiongozi mnyenyekevu na wazi :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

invoca a tu señor en tu interior, humilde y temerosamente, a media voz, mañana y tarde, y no seas de los despreocupados.

Swahili

na mkumbuke mola mlezi wako nafsini kwako kwa unyenyekevu na khofu, na bila ya kupiga kelele kwa kauli, asubuhi na jioni. wala usiwe miongoni wa walio ghafilika.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

¿no han visto que la sombra de todo lo que alá ha creado se mueve hacia la derecha y hacia la izquierda, en humilde prosternación ante alá?

Swahili

je! hawavioni vitu alivyo viumba mwenyezi mungu - vivuli vyao vinaelekea kushotoni na kuliani, kumsujudia mwenyezi mungu na vikinyenyekea?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

en mi humilde opinión y experiencia que tengo trabajando con la autoridad nacional de identidad que actualmente registra a miles de ghaneses para crear la base de datos, avalo la gestión de la actual comisión electoral en cuanto a este tema.

Swahili

kwa mtazamo wangu wa dhati na uzoefu wangu wa kufanya kazi na mamlaka ya vitambulisho ya taifa inayoandikisha watu ili kutengeneza taarifa za waghana wote, ninaunga mkono ushauri wa kamishna wa tume ya uchaguzi katika mada hii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

en mi humilde opinión, sony corp. ha sido demasiado confiado en hacer la mencionada demanda, porque la protección que otorga el registro de marca se limita a ciertos tipos/clases de productos cubiertos por dicha marca registrada.

Swahili

kwa maoni yangu binafsi, shirika la sony lilitoa madai hayo kwa kujiamini mno, kwa sababu kinga inayotolewa wakati wa usajili wa nembo huwa inahusu aina fulani tu ya bidhaa iliyo chini ya nembo husika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

alá ha preparado perdón y magnífica recompensa para los musulmanes y las musulmanas, los creyentes y las creyentes, los devotos y las devotas, los sinceros y las sinceras, los pacientes y las pacientes, los humildes y las humildes, los que y las que dan limosna, los que y las que ayunan, los castos y las castas, los que y las que recuerdan mucho a alá.

Swahili

hakika waislamu wanaume na waislamu wanawake, na waumini wanaume na waumini wanawake, na wat'iifu wanaume na wat'iifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wanawake, na wanao subiri wanaume na wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanawake, na watoao sadaka wanaume na wanawake, na wanao funga wanaume na wanawake, na wanao jihifadhi tupu zao wanaume na wanawake, na wanao mdhukuru mwenyezi mungu kwa wingi wanaume na wanawake, mwenyezi mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,777,729,744 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK