Results for investigaciones translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

investigaciones

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

los gobiernos ponen en marcha investigaciones para entender el fenómeno y cómo mitigar los impactos.

Swahili

serikali zinaanzisha tafiti ili kuelewa hali hii na jinsi ya kupunguza athari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

al anochecer llegamos al tristemente célebre maekelawi, el centro de investigaciones de la policía federal.

Swahili

karibu jua kuzama, tulikaribia maekelewi, ushirika wa kituo cha upelelezi wa polisi kinachojulikana kwa ukatili uliopitiliza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

mientras las investigaciones de la masacre continúan, los musulmanes que sirven en el ejército de los eua seguirán siendo observados.

Swahili

wakati ambapo uchunguzi wa mauaji hayo unaendelea, bila shaka jicho litaendelea kutupwa wa waislamu wanaotumikia jeshi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

algunas fuentes afirman que la razón oculta detrás de estas investigaciones a empleados es despedirlos, y de este modo quitarles sus derechos financieros.

Swahili

baadhi ya vyanzo vilidokeza kuwa sababu iliyojificha ya kuwachunguza wafanyakazi hawa ni kuwafukuza kazi kisha kuwapiga marufuku kudai haki zao zozote za kifedha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

mientras el sábado 3 de mayo de 2014 celebrábamos el día mundial de la libertad de prensa, estaban detenidos en la conocida oficina central de investigaciones de addis adaba.

Swahili

tulipokuwa tunasheherekea siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani siku ya jumamosi, walikuwa kizuizini kwenye mahabusi mbaya zaidi jijini addis ababa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

mientras tanto, las investigaciones continúan y ochenta y tres personas han sido detenidas en una redada masiva de seguridad puesta en marcha después de los ataques individuales del domingo 1 de julio en las iglesias de garissa.

Swahili

kwa sasa, uchunguzi unaendelea na watu themanini na tatu wameshikiliwa kufuatia zoezi la kuwasaka lililozinduliwa baada ya mashambulizi hayo mawili jumapili katika makanisa ya mji wa garrissa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

sus investigaciones les llevaron a considerar el peso de los principios y los valores culturales, fuertemente anclados en la psicología colectiva de los empresarios africanos, con tal de evaluar los factores del éxito de sus emprendedores.

Swahili

utafiti wao uliwasababisha kuzingatia uzito wa maadili ya kitamaduni na kanuni ambazo zilizojikita katika mawazo ya kawaida ya wafanyabiashara wa afrika ili kutathmini sababu za mafanikio ya wajasiriamali wa afrika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

hay que dejar constancia de que no se consideró el siguiente hecho: según una serie de investigaciones médicas científicas, un niño abortado pasa por el mismo nivel de sufrimiento de un adulto al que se tortura hasta morir.

Swahili

ifahamike kwamba uhalisia ufuatao haukutiliwa maanani: kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitabibu, mimba inapotolewa, mtoto huwa anapata maumivu sawasawa na ya mtoto aliyezaliwa kawaida na akakuzwa halafu akateswa hadi kufa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

la noticia de la desaparición de la periodista de 58 años se hizo pública en un momento en que la familia –que estaba tratando de no complicar las investigaciones de la policía– empezó a perder la esperanza de que milocas siguiera viva.

Swahili

habari za kutoweka kwa mwandishi huyo mwenye umri wa miaka 58 zilikuwa hadharani wakati ambao familia yake -ambayo ilijaribu kurahisisha uchunguzi wa polisi- ilianza kupoteza matumaini kuwa milocas alikuwa hai bado.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

@commsbh: ministro: mosc está realizando un estudio de investigación con el propósito de establecer los controles sobre el uso de la tecnología (voip). #bahrain

Swahili

@commsbh: waziri: wizara inafanya utafiti kwa lengo la kutengeneza udhibiti wa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano ya sauti. #bahrain

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,317,316 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK