Results for llamamiento translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

llamamiento

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

mi llamamiento sólo ha servido para que huyan más.

Swahili

lakini wito wangu haukuwazidisha ila kukimbia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

porque los dones y el llamamiento de dios son irrevocables

Swahili

maana mungu akisha wapa watu zawadi zake na kuwateua, hajuti kwamba amefanya hivyo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

no equiparéis entre vosotros el llamamiento del enviado a un llamamiento que podáis dirigiros unos a otros.

Swahili

msifanye wito wa mtume baina yenu kama wito wa nyinyi kwa nyinyi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

tú no puedes hacer que los muertos oigan ni que los sordos oigan el llamamiento, si vuelven la espalda.

Swahili

kwani wewe hakika huwafanyi maiti wakasikia, wala viziwi wakasikia wito wakisha geuka kukupa mgongo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

shadrake permaneció detenido dos días, durante los cuales amnistía internacional y reporteros sin fronteras hicieron un llamamiento por su liberación.

Swahili

alishikiliwa kwa siku mbili ambapo shirika la haki za binadamu la kimataifa amnesty international na wanahabari wasiokuwa na mipaka walitaka aachiwe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

anuncio del llamamiento de unicef sobre la crisis invernal de los niños de siria en el metro de londres, dic. 2012.

Swahili

tangazo la hali ya hatari ya baridi kwa watoto wa syria liliowekwa na unicef mnano mwezi desemba 2012 katika njia ya treni ya chini kwa chini jijini london.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

con este fin oramos siempre por vosotros: para que nuestro dios os haga dignos de su llamamiento y que él cumpla todo buen propósito y toda obra de fe con poder

Swahili

ndiyo maana tunawaombeeni daima. tunamwomba mungu wetu awawezeshe muyastahili maisha aliyowaitia myaishi. tunamwomba, kwa uwezo wake, atimize nia yenu ya kutenda mema na kukamilisha kazi yenu ya imani.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

pues considerad, hermanos, vuestro llamamiento: no sois muchos sabios según la carne, ni muchos poderosos, ni muchos nobles

Swahili

ndugu, kumbukeni wakati mlipoitwa: wengi wenu hawakuwa wenye hekima hata kwa fikira za binadamu; wengi hawakuwa wenye nguvu au watu wa tabaka ya juu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el candidato de la oposición, muhammadu buhari, y los principales actores de la sociedad civil han hecho un llamamiento a la calma pero la decisión genera un gran descontento.

Swahili

mgombea u-rais wa upinzani, muhammadu buhari, pamoja na washikadau wakuu wa asasi za kiraia wamewataka watu kuwa watulivu, lakini uamuzi huu umechochea hali ya watu kutokuridhika na hali ilivyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

di: «os advierto, en verdad, por la revelación, pero los sordos no oyen el llamamiento cuando se les advierte».

Swahili

sema: mimi nakuonyeni kwa wahyi. na viziwi hawasikii wito wanapo onywa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

a medida que el gobierno de estados unidos evalúa acción militar en siria, el presidente de rusia, putin, hizo un llamamiento a los estadounidenses en el new york times para mantener las armas fuera del país devastado por la guerra.

Swahili

wakati serikali ya marekani ifikiri kuishambulia syria kijeshi, rais wa urusi akiwa new york amewasihi watu wa marekani kufutilia mbali mpango wao wa kuipiga nchi hiyo ambayo tayari imeshaharibiwa mno na vita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

hacen también un llamamiento para que se cumpla la resolución de la onu sobre el derecho a la privacidad en la era digital en la ley secundaria de telecomunicaciones, la declaración conjunta con respecto a programas de vigilancia y su impacto en la libertad de expresión y los 13 principios sobre la aplicación de los derechos humanos, para así asegurar el respeto de los derechos humanos en internet.

Swahili

pia walitoa wito kwa maadhimisho ya azimio la umoja wa mataifa kuhusu haki ya faragha katika zama za digitali juu ya sheria ya lazima ya mawasiliano ya simu, tamko la pamoja juu ya mipango ya ufuatiliaji na athari zake katika uhuru wa kujieleza kanuni 13 kuhusu haki za binadamu , ili kuhakikisha heshima ya haki za binadamu katika mtandao inakuwepo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

"según se informa, jatami ha insistido en la "complejidad" tanto de los asuntos internacionales como internos, y ha hecho un llamamiento por la "comprensión de estas complejidades por parte de todos".

Swahili

aliripotiwa kusisitiza "hali tete" wa hali ya ndani na ya kimataifa na kutoa wito kwa kila mmoja "kuelewa hali tete iliyopo".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,799,831,415 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK