Results for publicidad translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

publicidad

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

hicieron videos y distribuyeron volantes para dar publicidad a la causa.

Swahili

waliandaa video na vipeperushi vilivyojaribu kuelezea sababu ya kuandamana kwao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el partido de la oposición de tanzania usando cada rincón de espacio disponible para alguna publicidad en la concentración de chadema en mbeya.

Swahili

chama cha upinzani kikitumia kila njia ili kujitambulisha kwenye mkutano wao wa kampeni leo huko mbeya

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el anuncio de de yahya jammeh de retirar a gambia de la comunidad es la publicidad más negativa que merece el reportaje de periódico de un año.

Swahili

kujitoa kwa gambia ya yahya jammeh kutoka jumuiya ya madola inatosha kuwa habari hasi kwa mwaka mzima wa taarifa za magazeti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

la falta de firmas no es porque les falte publicidad o fuerza, sino porque la mayoría de las personas saben que esta petición es tonta y sin sentido.

Swahili

uksefu wa saini hautokani na kukosekana kwa utangazaji au msukumo bali kwa sababu watu wengi wanafahamu kuwa kampeni hii ni ujinga na haina maana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

muchas organizaciones de noticias de hong kong, una región administrativa especial de china, temían enfadar al gobierno de pekín o perder los ingresos por publicidad por sus vínculos comerciales con el continente.

Swahili

mashirika mengi ya habari jijini hong kong, jimbo maalumu ya kiutawala la china, yamekuwa na hofu ya kupoteza mapato ya matangazo ya ki-biashara kutoka bara china au kuogopa kuikasirisha serikali ya beijing.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

en bahrein, sohail al gosaibi percibe una consipiración en el aire al destacar que la exageración del efecto de la gripe porcina beneficia a las industrias de los medios, publicidad, y farmacéutica.

Swahili

bado tukiwa bahraini, sohail al gosaibi ananusa njama kwenye hewa, anaona kwamba kukuza sana madhara ya mafua ya nguruwe kunayanufaisha mashirika ya habari, watangaza biashara na viwanda vya madawa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

la diferencia entre las atrocidades de isis y assad no es su escala o su naturaleza sino su publicidad. para isis, la estrategia es el terror. assad necesita la ambigüedad/negación.

Swahili

tofauti kati ya ukatili wa isis/assad sio kwenye uasili bali katika kujitangaza: kwa upande wa isis, makakati wao ni kutisha; assad anahitaji mapingamizi. — emile hokayem (@emile_hokayem) september 2, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

mientras los usuarios siguen compartiendo el vídeo de la banda ucraniana en internet, surgen algunas especulaciones a modo de broma acerca de si pudiera tratarse de una campaña de publicidad secreta por parte de apple, ya que los aparatos de esta marca juegan un papel muy destacado.

Swahili

wakati watumiaji wa youtube wakiendelea kusambaza video hii ya bendi kutoka ukraine iliyoandaliwa kwa ustadi mkubwa, baadhi ya watu wanahisi kuwa, yawezekana video video hii imeandaliwa kwa siri kama namna ya kutangaza bidhaa za apple kufuatia vifaa hivi vya apple kutumika katika kazi hii iliyotukuka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

durante la discusión sobre la generación de ingresos la cual la mayoría de los blogueros no ven como un incentivo para su blogueo, la mayoría admitió que, a pesar de tener acuerdos con empresas internacionales de publicidad online, había poco que mostrar al respecto por lo que posiblemente cancelarían el servicio.

Swahili

katika mjadala uliohusu upatikanaji mapato, kitu ambacho wanablogu wengi, hawakukichukulia kama kichocheo kikubwa katika kiu yao ya kublogu, wengi walikiri kwamba ingawa walikuwa wamejisajili katika makampuni ya kimataifa ya masoko ya mtandaoni, hakukuwa na kitu kikubwa kilichopatikana jambo lililowafanya wengi kujitoa katika huduma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

aunque el reino ha dejado con mucha publicidad los "años de plomo" en los que la tortura era ampliamente practicada hacia los disidentes políticos durante el reinado de hassan ii, incidentes como los informados por lalami constituyen una contrapartida escalofriante de la faz de prosperidad del actual régimen particularmente cuando son comparados con la actual supresión de todo tipo de prensa libre.

Swahili

wakati ambapo ufalme katika enzi za "miaka ya chuma" ulikiuka haki nyingi za binadamu tena hadharani, na katika kipindi ambapo kulikuwa na utesaji mkubwa wa wapinzani wa kisiasa chini ya mfalme hassan ii, matukio kama yale yaliyoripotiwa na lalami ni vipengele visivyopendeza kwa utawala uliopo sasa unaojitia kuwa na sura angavu na mafanikio, hasa kwa kuzingatia kwamba unatokea sanjari na ukandamizaji wa uhuru wa vyombo vya habari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,779,131,959 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK