Results for sembrado translation from Spanish to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

y el que fue sembrado en pedregales es el que oye la palabra y en seguida la recibe con gozo

Swahili

ile mbegu iliyopandwa penye mawe ni mfano wa mtu asikiaye ujumbe huo na mara akaupokea kwa furaha.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

si nosotros hemos sembrado cosas espirituales para vosotros, ¿será gran cosa si de vosotros cosechamos bienes materiales

Swahili

ikiwa sisi tumepanda mbegu ya kiroho kati yenu, je, ni jambo kubwa tukichuma kwenu faida ya kidunia?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

y a david y salomón. cuando dictaron sentencia sobre el sembrado en que las ovejas de la gente se habían introducido de noche.

Swahili

na daud na suleiman walipo kata hukumu katika kadhiya ya konde walipo lisha humo mbuzi wa watu usiku.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

fue bueno conmigo, sacándome de la cárcel y trayéndoos del desierto, luego de haber sembrado el demonio la discordia entre yo y mis hermanos.

Swahili

na mwenyezi mungu amenifanyia wema kunitoa gerezani, na kukuleteni kutoka jangwani baada ya shet'ani kuchochea baina yangu na ndugu zangu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

y el que fue sembrado en espinos, éste es el que oye la palabra, pero las preocupaciones de este mundo y el engaño de las riquezas ahogan la palabra, y queda sin fruto

Swahili

ile mbegu iliyoanguka kati ya miti ya miiba, ni mfano wa mtu asikiaye huo ujumbe, lakini wasiwasi wa ulimwengu huu na anasa za mali huusonga ujumbe huo, naye hazai matunda.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

pero una vez sembrado, crece y se convierte en la más grande de todas las hortalizas, y echa ramas muy grandes, de modo que las aves del cielo pueden anidar bajo su sombra.

Swahili

lakini ikisha pandwa, huota na kuwa mmea mkubwa kuliko mimea yote ya shambani. matawi yake huwa makubwa hata ndege wa angani huweza kujenga viota vyao katika kivuli chake."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

pero el que fue sembrado en buena tierra, éste es el que oye la palabra y la entiende, el que de veras lleva fruto y produce, uno a ciento, otro a sesenta, y otro a treinta por uno

Swahili

ile mbegu iliyopandwa katika udongo mzuri ni mfano wa mtu ausikiaye ujumbe huo na kuuelewa, naye huzaa matunda; mmoja mia, mwingine sitini na mwingine thelathini."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

propónles la parábola de dos hombres, a uno de los cuales dimos dos viñedos, que cercamos de palmeras y separamos con sembrados.

Swahili

na wapigie mfano wa watu wawili: mmoja wao tulimpa vitalu viwili vya mizabibu, na tukavizungushia mitende, na kati yake tukatia mimea ya nafaka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,378,700 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK