Results for tukawapelekea translation from Swahili to Amharic

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Amharic

Info

Swahili

tukawapelekea

Amharic

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Amharic

Info

Swahili

tukawapelekea mtume miongoni mwao , kuwaambia : muabuduni mwenyezi mungu ! hamna mungu asiye kuwa yeye .

Amharic

በውስጣቸውም ከእነሱ የኾነን መልክተኛ አላህን ተገዙ ከእርሱ ሌላ አምላክ የላችሁም አትጠነቀቁምን በማለት ላክን ፡ ፡

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika sisi tukawapelekea kimbunga cha vijiwe , isipo kuwa wafuasi wa lut'i . hao tuliwaokoa karibu na alfajiri .

Amharic

እኛ በእነርሱ ላይ ጠጠርን ያዘለች ነፋስን ላክን ፡ ፡ የሉጥ ቤተሰቦች ብቻ ሲቀሩ ( እነርሱንስ ) በሌሊት መጨረሻ ላይ አዳንናቸው ፡ ፡

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini walio dhulumu miongoni mwao walibadilisha kauli , sio ile waliyo ambiwa . basi tukawapelekea adhabu kutoka mbinguni kwa vile walivyo kuwa wakidhulumu .

Amharic

ከእነሱም ውስጥ እነዚያ ( ራሳቸውን ) የበደሉት ሰዎች ከዚያ ለእነርሱ ከተባለው ሌላ የኾነን ቃል ለወጡ ፡ ፡ በእነርሱም ላይ ይበድሉ በነበሩት በደል መዐትን ከሰማይ ላክንባቸው ፡ ፡

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wakaacha . tukawapelekea mafuriko makubwa , na tukawabadilishia badala ya bustani zao hizo kwa bustani nyengine zenye matunda makali machungu , na mivinje , na kidogo katika miti ya kunazi .

Amharic

( ከማመስገን ) ዞሩም ፡ ፡ በእነርሱም ላይ የግድቡን ጎርፍ ለቀቅንባቸው ፡ ፡ በአትክልቶቻቸውም ሁለት አትክልቶች ፣ ባለመርጋጋ ፍሬዎችን ፣ ባለጠደቻና ከቁርቁራም ባለጥቂት ዛፎችን ለወጥናቸው ፡ ፡

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi tukawapelekea tufani , na nzige , na chawa , na vyura , na damu , kuwa ni ishara mbali mbali . nao wakapanda kiburi , na wakawa watu wakosefu .

Amharic

ወዲያም የወሃን ማጥለቅለቅ አንበጣንም ነቀዝንም እንቁራሪቶችንም ደምንም የተለያዩ ተዓምራት ሲኾኑ በነሱ ላይ ላክን ኮሩም ተንኮለኞችም ሕዝቦች ነበሩ ፡ ፡

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,764,566,648 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK