Results for alivyokuwa translation from Swahili to Arabic

Swahili

Translate

alivyokuwa

Translate

Arabic

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

basi, kila mmoja na abaki kama alivyokuwa wakati alipoitwa.

Arabic

الدعوة التي دعي فيها كل واحد فليلبث فيها.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanafunzi wakajibu kama yesu alivyokuwa amewaambia; nao wakawaacha waende zao.

Arabic

فقالا لهم كما اوصى يسوع. فتركوهما.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye akawaambia, "nilimwona shetani jinsi alivyokuwa anaporomoka kama umeme kutoka mbinguni.

Arabic

فقال لهم رأيت الشيطان ساقطا مثل البرق من السماء.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na kwa vile wao walikuwa mafundi wa kushona mahema kama alivyokuwa yeye, paulo alikaa nao akafanya kazi.

Arabic

‎ولكونه من صناعتهما اقام عندهما وكان يعمل لانهما كانا في صناعتهما خياميّين‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jinsi yona alivyokuwa ishara kwa watu wa ninewi, ndivyo pia mwana wa mtu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki.

Arabic

لانه كما كان يونان آية لاهل نينوى كذلك يكون ابن الانسان ايضا لهذا الجيل.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa, basi, ndugu zangu, ninyi ni watoto wa mungu kutokana na ahadi yake kama alivyokuwa isaka.

Arabic

واما نحن ايها الاخوة فنظير اسحق اولاد الموعد.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, mwaona jinsi mtu huyu alivyokuwa maarufu. baba abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka vitani.

Arabic

ثم انظروا ما اعظم هذا الذي اعطاه ابراهيم رئيس الآباء عشرا ايضا من راس الغنائم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuna mtu awezaye kujitwalia mwenyewe heshima ya kuwa kuhani mkuu. kila mmoja huteuliwa na mungu kuwa kuhani mkuu kama alivyokuwa aroni.

Arabic

ولا يأخذ احد هذه الوظيفة بنفسه بل المدعو من الله كما هرون ايضا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye alitueleza jinsi alivyokuwa amemwona malaika amesimama nyumbani mwake na kumwambia: mtume mtu yopa akamwite mtu mmoja aitwaye simoni, kwa jina lingine petro.

Arabic

‎فاخبرنا كيف رأى الملاك في بيته قائما وقائلا له ارسل الى يافا رجالا واستدع سمعان الملقب بطرس‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini huyo mchawi elima (kama alivyokuwa anaitwa kwa kigiriki), alijaribu kuwapinga ili kumzuia huyo mkuu wa kisiwa asije akaigeukia imani ya kikristo.

Arabic

‎فقاومهما عليم الساحر. لان هكذا يترجم اسمه. طالبا ان يفسد الوالي عن الايمان

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu huyo hakuwa na chochote cha kulipa; hivyo bwana wake aliamuru wauzwe, yeye, mke wake, watoto wake na vitu vyote alivyokuwa navyo, ili deni lilipwe.

Arabic

واذ لم يكن له ما يوفي أمر سيده ان يباع هو وامرأته واولاده وكل ما له ويوفى الدين.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa masikitiko hukumu imetolewa leo kinyume na vile kila mmoja alivyokuwa akitarajia na kesi hiyo hivi sasa inapelekwa kwa mufti mkuu. baada ya kusomwa kwa hukumu, mushkeli ulizuka mahakamani, huku wanafamilia wa mohsen na hesham wakipiga mayowe kadhalika wafanyakazi wa kundi la talaat moustafa, ambao hawakuamini kile walichokisikia. wakati huo huo hesham na mohsen walikuwa kimya kabisa.

Arabic

وبعد النطق بالحكم سادت حالة من الهرج والمرج داخل قاعة المحكمة بسبب صراخ الجميع غير مصدقين من عائلات محسن وهشام والعاملين فى مجموعة طلعت مصطفى بينما هشام ومحسن انتابتهم حالة صمت تااااااامة أنا نفسى مش كنت مصدقة لأن جريمة هشام هى التحريض على القتل بينما محسن اللى نفذ ازاى يكون الحكم متساوى

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,952,114,892 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK