Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
basi, ndivyo ilivyo pia wakati huu wa sasa: ipo idadi ya waliobaki ambao mungu aliwateua kwa sababu ya neema yake.
فكذلك في الزمان الحاضر ايضا قد حصلت بقية حسب اختيار النعمة.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mungu wa taifa hili la israeli aliwateua babu zetu na kuwafanya wawe taifa kubwa walipokuwa ugenini kule misri. mungu aliwatoa huko kwa uwezo wake mkuu.
اله شعب اسرائيل هذا اختار آباءنا ورفع الشعب في الغربة في ارض مصر. وبذراع مرتفعة اخرجهم منها.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mungu baba aliwateua ninyi kufuatana na kusudi lake, na mmefanywa watakatifu na roho, mpate kumtii yesu kristo na kusafishwa kwa damu yake. nawatakieni neema na amani tele.
بمقتضى علم الله الآب السابق في تقديس الروح للطاعة ورشّ دم يسوع المسيح. لتكثر لكم النعمة والسلام
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hao ndio watu wa israeli ambao mungu aliwateua wawe watoto wake, akawashirikisha utukufu wake; aliagana nao, akawapa sheria yake, imani ya kweli na ahadi zake.
الذين هم اسرائيليون ولهم التبني والمجد والعهود والاشتراع والعبادة والمواعيد.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: