Results for kiapo translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

kiapo alichomwapia abrahamu baba yetu, ni kwamba atatujalia sisi

Arabic

القسم الذي حلف لابراهيم ابينا

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba.

Arabic

من ثم وعد بقسم انه مهما طلبت يعطيها.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

petro akakana tena kwa kiapo: "simjui mtu huyo."

Arabic

فانكر ايضا بقسم اني لست اعرف الرجل.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

watu wanapoapa, huapa kwa mmoja aliye mkuu zaidi kuliko wao, na kiapo hicho husuluhisha ubishi wote.

Arabic

فان الناس يقسمون بالاعظم ونهاية كل مشاجرة عندهم لاجل التثبيت هي القسم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mfalme alihuzunika, lakini kwa sababu ya kile kiapo chake na kwa sababu ya wale wageni karamuni, akaamuru apewe.

Arabic

فاغتم الملك. ولكن من اجل الاقسام والمتكئين معه أمر ان يعطى.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini kwa vile daudi alikuwa nabii, alijua kuwa mungu alimwapia kiapo kwamba atamtawaza mmoja wa uzawa wake kuwa mfalme mahali pake.

Arabic

‎فاذ كان نبيا وعلم ان الله حلف له بقسم انه من ثمرة صلبه يقيم المسيح حسب الجسد ليجلس على كرسيه

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tena mwasema ati mtu akiapa kwa madhabahu si kitu; lakini akiapa kwa zawadi iliyowekwa juu ya madhabahu, kiapo hicho humshika.

Arabic

ومن حلف بالمذبح فليس بشيء. ولكن من حلف بالقربان الذي عليه يلتزم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"tena mmesikia kuwa watu wa kale waliambiwa: usivunje kiapo chako, bali ni lazima utimize kiapo chako kwa bwana.

Arabic

ايضا سمعتم انه قيل للقدماء لا تحنث بل أوف للرب اقسامك.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

sheria ya mose huwateua watu waliokuwa dhaifu kuwa makuhani wakuu; lakini ahadi ya mungu aliyoifanya kwa kiapo na ambayo imefika baada ya sheria imemteua mwana ambaye amefanywa mkamilifu milele.

Arabic

فان الناموس يقيم اناسا بهم ضعف رؤساء كهنة واما كلمة القسم التي بعد الناموس فتقيم ابنا مكملا الى الابد

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kulipokucha, wayahudi walifanya kikao cha faragha. wakala kiapo: "hatutakula wala kunywa mpaka tutakapokuwa tumekwisha muua paulo."

Arabic

ولما صار النهار صنع بعض اليهود اتفاقا وحرموا انفسهم قائلين انهم لا يأكلون ولا يشربون حتى يقتلوا بولس‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini yesu alifanywa kuhani kwa kiapo wakati mungu alipomwambia: "bwana ameapa, wala hataigeuza nia yake: wewe ni kuhani milele."

Arabic

لان اولئك بدون قسم قد صاروا كهنة واما هذا فبقسم من القائل له اقسم الرب ولن يندم انت كاهن الى الابد على رتبة ملكي صادق.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"ole wenu viongozi vipofu! ninyi mwasema ati mtu akiapa kwa hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini akiapa kwa dhahabu ya hekalu, kiapo hicho kinamshika.

Arabic

ويل لكم ايها القادة العميان القائلون من حلف بالهيكل فليس بشيء. ولكن من حلف بذهب الهيكل يلتزم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hapo awali mwezi machi, wanaharakati wengine wawili mashuhuri wa haki za binadamu na waanzilishi wa acpra walikutwa na hatia na kuhukumiwa kifungo cha mpaka miaka 10 na 11 jela kwa "kuvunja kiapo cha utii kwa kiongozi na mrithi wake" na "kujaribu kuzorotesha maendeleo ya nchi".

Arabic

في مارس / آذار السابق تم الحكم على ناشطين حقوقين بارزين وعضوين مؤسيين للجمعية السعودية للحقوق السياسية والمدنية (حسم) وقضت المحكمة بسجنهما ما بين ١٠ إلى ١١ سنة بتهمة عدم الإخلاص للحاكم وولي عهده و"عرقلة تقدم الدولة".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,947,482,145 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK