Results for kijiji translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

kijiji

Arabic

قرية

Last Update: 2021-12-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwonekano wa kijiji kimoja wapo nchini cambodia

Arabic

مشهد في ريف كمبوديا

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yesu aliondoka hapo akaenda katika kijiji chake, akifuatwa na wanafunzi wake.

Arabic

وخرج من هناك وجاء الى وطنه وتبعه تلاميذه.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akaendelea kusema, "hakika nawaambieni, nabii hatambuliwi katika kijiji chake.

Arabic

وقال الحق اقول لكم انه ليس نبي مقبولا في وطنه.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, akawatuma wajumbe wamtangulie, nao wakaenda wakaingia kijiji kimoja cha wasamaria ili wamtayarishie mahali.

Arabic

وارسل امام وجهه رسلا. فذهبوا ودخلوا قرية للسامريين حتى يعدوا له.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

walipokuwa safarini, waliingia katika kijiji kimoja na mwanamke mmoja, aitwaye martha, alimkaribisha nyumbani kwake.

Arabic

وفيما هم سائرون دخل قرية فقبلته امرأة اسمها مرثا في بيتها.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwenye eneo la phnom pehn na kwenye kijiji cha anluk leak, niliweza kuchnguza uzuri wa kifilamu wa nchi hii nzuri kutoka angani.

Arabic

سنحت لي الفرصة في موقع في بنوم بنه وقرية أنلوك ليك الريفية استكشاف الجمال السينمائي لهذة الأرض من السماء.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akawaambia, "nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. wafungueni mkawalete kwangu.

Arabic

قائلا لهما. اذهبا الى القرية التي امامكما فللوقت تجدان اتانا مربوطة وجحشا معها فحلاهما وأتياني بهما.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wasamaria wengi wa kijiji kile waliamini kwa sababu ya maneno aliyosema huyo mama: "ameniambia mambo yote niliyofanya."

Arabic

فآمن به من تلك المدينة كثيرون من السامريين بسبب كلام المرأة التي كانت تشهد انه قال لي كل ما فعلت.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"mkiingia katika mji wowote au kijiji, tafuteni humo mtu yeyote aliye tayari kuwakaribisheni, na kaeni naye mpaka mtakapoondoka mahali hapo.

Arabic

واية مدينة او قرية دخلتموها فافحصوا من فيها مستحق. واقيموا هناك حتى تخرجوا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mtu mmoja aitwaye lazaro, mwenyeji wa bethania, alikuwa mgonjwa. (kijiji cha bethania kilikuwa mahali walipokaa maria na martha, dada yake.

Arabic

وكان انسان مريضا وهو لعارز من بيت عنيا من قرية مريم ومرثا اختها.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@ahrar_murqoban, ukurasa wa twita uliotolewa maalum kwa ajili ya kupakia habari za kijiji kilichopo sitra, ilipakia video inayoonesha matukio aina hii.

Arabic

@ahrar_murqoban حساب على تويتر معنى بنشر أخبار جزيرة سترة، قام بنشر فيديو لواقعة مماثلة.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siku moja yesu alikuwa akifundisha. mafarisayo na walimu wa sheria kutoka katika kila kijiji cha galilaya, yudea na yerusalemu, walikuwa wameketi hapo. nguvu ya bwana ilikuwa pamoja naye kwa ajili ya kuponyea wagonjwa.

Arabic

وفي احدى الايام كان يعلم وكان فريسيون ومعلمون للناموس جالسين وهم قد أتوا من كل قرية من الجليل واليهودية واورشليم. وكانت قوة الرب لشفائهم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akawaambia: "nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu. mtakapokuwa mnaingia kijijini, mtamkuta mwana punda amefungwa ambaye hajatumiwa na mtu. mfungeni, mkamlete hapa.

Arabic

قائلا. اذهبا الى القرية التي امامكما وحين تدخلانها تجدان جحشا مربوطا لم يجلس عليه احد من الناس قط. فحلاه وأتيا به.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

video inaonesha polisi akifanya vurugu kwa kulirushia tofali gari lililokuwa limeegeshwa katika kijiji cha jurdab. daktari abdulhadi khalaf, mwenye elimu ya uzamivu, ambaye siku za hivi karibuni alivuliwa uraia wa bahrain, alipakia video nyingine na alichangia kama ifuatavyo:

Arabic

عبد الهادي خلف، أحد الأساتذة الجامعيين الذين تم سحب الجنسية البحرينية منهم مؤخرًا، قام هو أيضا بنشر فيديو آخر وعلّق قائلاً:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,773,665,612 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK