Results for kiutamaduni translation from Swahili to Arabic

Swahili

Translate

kiutamaduni

Translate

Arabic

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

tumeshirikiana nao kuwapa ushauri mahsusi kwa maeneo yanayolengwa kuhusu namna ya kutunga ujumbe unaoeleweka na unaokubalika kiutamaduni.

Arabic

شاركنا أيضًا نصائح من نشطاء على الأرض حتى نجعل الرسائل مناسبة للمجتمع المحلي وثقافته.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uharibufu mkubwa kwenye makubusho hayo nchini syria umetokea kwenye eneo la kaskazini magharibi mwanchi hiyo, ambapo kumekuwa na matukio ya kuibwa kwa utajiri mkubwa wa kiutamaduni, na kazi nyingi za sanaa hazijulikani ziliko.

Arabic

معظم المتاحف المتضررة تقع في المنطقة الشمالية الغربية من البلاد، سجلت فيها العديد من حوادث نهب الممتلكات الثقافية والعديد من الأعمال الفنية تعتبر مفقودة حاليًا.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uchimbaji na uvunjaji haramu kwa pamoja vimeongezeka tangu kuanza kwa vita nchini syria. matukio haya yameharibu maeneo mengi ya kihistoria na makumbusho, na utajiri mkubwa wa kiutamaduni nchini humo umetoweka nchini na kuishia kwenye minada haramu na/au kuhifadhiwa na watu binafsi.

Arabic

تضاعفت أعمال النهب والتنقيب غير الشرعي منذ بداية “النزاع” في سوريا، طالت هذه الأعمال المواقع الأثرية والمتاحف، وانتهى المطاف بجزء مهم من الممتلكات الثقافية السورية في السوق السوداء وجامعي التحف.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia elimu, sayansi na utamaduni (unesco) lina ukurasa maalum kwa ajili ya kulinda urithi wa kiutamaduni wa syria kwa lengo la kufuatilia uharibifu uliosababishwa na mapigano nchini humo, yanayokaribia miaka minne sasa, na athari zake kwenye historia yanchi hiyo.

Arabic

خصصت (اليونسكو) منظمة الأمم المتحدة للتربية والعلم والثقافة منذ أربع سنوات صفحة بعنوان حماية التراث الثقافي السوري لتقوم بمتابعة الأضرار التي لحقت بالمواقع الأثرية نتيجة الصراع في سوريا.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,741,420 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK