Results for kura translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

"kura 46″

Arabic

"28 صوتا"

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

karatasi ya kupigia kura:

Arabic

استمارات التصويت:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

safari ndefu kwenda kupiga kura:

Arabic

الطريق الطويل للتصويت:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakusubiri kupiga kura kwa ajili ya uhuru:

Arabic

الانتظار للتصويت من أجل الحرية:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

namna ya kuweka alama kwenye karatasi ya kura:

Arabic

رسم توضيحي لكيفية التصويت:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

namna ya kuweka alama kwenye karatasi ya upigaji kura ya maoni

Arabic

كيفية التصويت في الاستفتاء

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sudani: kura ya maoni ya sudani ya kusini katika picha

Arabic

السودان: استفتاء جنوب السودان بالصور

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

#sulaimaniya, jamal: vituo vya kupiga kura vimefungwa.

Arabic

ويكتب جمال من السليمانية:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakamsulubisha, wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura waamue nani angepata nini.

Arabic

ولما صلبوه اقتسموا ثيابه مقترعين عليها ماذا يأخذ كل واحد.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na hapa watu waliimba: ‘mousavi, rejesha kura yangu!’.

Arabic

وهنا يهتف الناس: "موسوي، أرجع لي صوتي! "

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hizi ni picha zinazoweka kumbukumbu muhimu ya kihistoria ya kura hiyo ya maoni katika sudani ya kusini.

Arabic

هذه الصور توثق العلامات الفارقة في الاستفتاء.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

-kuendelea na serikali hii kutaleta wasiwasi kuhusu kutendeka haki wakati wa uchaguzi na kura ya maoni kuhusu katiba

Arabic

- الإبقاء على الوزارة يثير الشكوك حول نزاهة هذه الانتخابات والاستفتاء على الدستور.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wageni wasio waislamu hawawezi kupiga kura, kuabudu hadharani, kupata uraia, wala kutumikia umma.

Arabic

لا يحق للأجانب من غير المسلمين التصويت، أو العبادة علناً، الحصول على الجنسية، أو شغل المناصب العامة.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chama chenye mrengo wa kiislam ennahdha kilishinda kwa asilimia 41 ya kura zilizopigwa, na kujinyakulia viti 89 kati ya viti 217 vya bunge la uwakilishi.

Arabic

فاز حزب النهضة الإسلامي بواحد وأربعين في المائة من الاصوات و89 مقعداً من 217 مقعداً من مقاعد الجمعية التأسيسية.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo, wakapiga kura; kura ikampata mathia, naye akaongezwa katika idadi ya wale mitume wengine kumi na mmoja.

Arabic

‎ثم ألقوا قرعتهم فوقعت القرعة على متياس فحسب مع الاحد عشر رسولا

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maandamano, ambayo yalifanyika novemba 26, yakitoa wito kwa ajili ya kusitishwa kwa uendeshaji wa mashitaka ya kijeshi kwa raia wa kawaida katika katiba mpya ambayo wananchi wa misri wataipigia kura baadaye mwezi huu .

Arabic

دعت المظاهرة، التي أقيمت في 26 نوفمبر / تشرين الثاني لإلغاء المحاكمات العسكرية للمدنيين من الدستور الجديد الذي قامت مصر بالتصويت عليه في شهر يناير / كانون الثاني.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

carlos garcia (@carlosgarciareq) na mirian de aristimuño (@miriamjsdea) walionyesha vidole vyao vilivyochonywa wino usiofutika kupitia alama habari #yavote (nimeshapiga kura yangu):

Arabic

شارك كارلوس جارسيا (@carlosgarciareq) وميريان أريستيمونيو (@miriamjsdea) صور لأصابعهما ملونة بالحبر البنفسجي تحت وسم #yavote (قمت بالتصويت):

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,950,812,847 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK