Results for mashahidi translation from Swahili to Arabic

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

mashahidi

Arabic

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

ninyi ni mashahidi wa mambo hayo.

Arabic

وانتم شهود لذلك.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, mungu alimfufua huyo yesu na sisi sote ni mashahidi wa tukio hilo.

Arabic

‎فيسوع هذا اقامه الله ونحن جميعا شهود لذلك‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

usikubali kupokea mashtaka dhidi ya mzee yasipowakilishwa na mashahidi wawili au watatu.

Arabic

لا تقبل شكاية على شيخ الا على شاهدين او ثلاثة شهود.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo kuhani mkuu akararua joho lake, akasema, "tuna haja gani tena ya mashahidi?

Arabic

فمزّق رئيس الكهنة ثيابه وقال ما حاجتنا بعد الى شهود.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hao mashahidi wawili ni miti miwili ya mizeituni na taa mbili zinazosimama mbele ya bwana wa dunia.

Arabic

هذان هما الزيتونتان والمنارتان القائمتان امام رب الارض.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini hawakupata ushahidi wowote, ingawa walikuja mashahidi wengi wa uongo. mwishowe wakaja mashahidi wawili,

Arabic

فلم يجدوا. ومع انه جاء شهود زور كثيرون لم يجدوا. ولكن اخيرا تقدم شاهدا زور

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, mlimuua yule ambaye ni chanzo cha uzima. lakini mungu alimfufua, na sisi ni mashahidi wa tukio hilo.

Arabic

‎ورئيس الحياة قتلتموه الذي اقامه الله من الاموات ونحن شهود لذلك.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

asipokusikia, chukua mtu mmoja au wawili pamoja nawe, ili kwa mawaidha ya mashahidi wawili au watatu, kila tatizo litatuliwe.

Arabic

وان لم يسمع فخذ معك ايضا واحدا او اثنين لكي تقوم كل كلمة على فم شاهدين او ثلاثة.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

si kwa watu wote ila kwa wale mungu aliokwisha wachagua wawe mashahidi wake, yaani sisi tuliokula na kunywa pamoja naye baada ya kufufuka kwake kutoka wafu.

Arabic

ليس لجميع الشعب بل لشهود سبق الله فانتخبهم. لنا نحن الذين اكلنا وشربنا معه بعد قيامته من الاموات‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

piga mbio kadiri uwezavyo katika shindano la mbio za imani, ukajipatie tuzo la uzima wa milele, uliloitiwa wakati ulipokiri imani yako mbele ya mashahidi wengi.

Arabic

جاهد جهاد الايمان الحسن وامسك بالحياة الابدية التي اليها دعيت ايضا واعترفت الاعتراف الحسن امام شهود كثيرين.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zaidi ya hayo sisi tungekuwa mashahidi wa uongo mbele ya mungu, maana tulisema kwamba mungu alimfufua kristo kutoka wafu na kumbe yeye hakumfufua--kama ni kweli kwamba wafu hawafufuliwi.

Arabic

ونوجد نحن ايضا شهود زور للّه لاننا شهدنا من جهة الله انه اقام المسيح وهو لم يقمه ان كان الموتى لا يقومون.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wakati roho mtakatifu atakapowashukieni ninyi, mtajazwa nguvu na mtakuwa mashahidi wangu katika yerusalemu, katika nchi yote ya yudea na samaria, na hata miisho ya dunia."

Arabic

‎لكنكم ستنالون قوة متى حل الروح القدس عليكم وتكونون لي شهودا في اورشليم وفي كل اليهودية والسامرة والى اقصى الارض

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

asubuhi baada ya tukio hilo la kutupiana risasi, wafanyakazi wa hospitali ya rasool akram mjini tehran waliandamana kupinga mauaji yaliyotokea. muandamanaji mmoja alibeba bango linalosema “mashahidi 8”

Arabic

وفي صباح اليوم التالي للهجوم احتج موظفوا مستشفى رسول أكرم في طهران على عمليات القتل، وحمل أحد المحتجين لافتة كتب عليها "8 شهداء"

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

sisi tunalo kundi hili kubwa la mashahidi mbele yetu. kwa hiyo tuondoe kila kizuizi kinachotuzuia, na dhambi ile inayotung'ang'ania. tupige mbio kwa uvumilivu katika mashindano yaliyowekwa mbele yetu.

Arabic

لذلك نحن ايضا اذ لنا سحابة من الشهود مقدار هذه محيطة بنا لنطرح كل ثقل والخطية المحيطة بنا بسهولة ولنحاضر بالصبر في الجهاد الموضوع امامنا

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,318,961 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK