Results for mwenzake translation from Swahili to Arabic

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

mwenzake

Arabic

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

mtu asitafute faida yake mwenyewe, ila faida ya mwenzake.

Arabic

لا يطلب احد ما هو لنفسه بل كل واحد ما هو للآخر.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pendaneni kidugu; kila mmoja amfikirie mwenzake kwanza kwa heshima.

Arabic

وادّين بعضكم بعضا بالمحبة الاخوية. مقدمين بعضكم بعضا في الكرامة.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo mtumishi mwenzake akapiga magoti, akamwomba, unisubiri nami nitalipa deni langu lote.

Arabic

فخرّ العبد رفيقه على قدميه وطلب اليه قائلا تمهل عليّ فاوفيك الجميع.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, ndugu zangu, mnapokutana kula chakula cha bwana, kila mmoja amngoje mwenzake.

Arabic

اذا يا اخوتي حين تجتمعون للاكل انتظروا بعضكم بعضا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali kadhalika ingawa sisi ni wengi, tu mwili mmoja kwa kuungana na kristo, na kila mmoja ni kiungo cha mwenzake.

Arabic

هكذا نحن الكثيرين جسد واحد في المسيح واعضاء بعضا لبعض كل واحد للآخر.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muwe na moyo mwema na wenye kuhurumiana; kila mmoja na amsamehe mwenzake kama naye mungu alivyowasamehe ninyi kwa njia ya kristo.

Arabic

وكونوا لطفاء بعضكم نحو بعض شفوقين متسامحين كما سامحكم الله ايضا في المسيح

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, acheni uongo. kila mmoja anapaswa kumwambia mwenzake ukweli, maana kila mmoja wetu ni kiungo cha mwili wa kristo.

Arabic

لذلك اطرحوا عنكم الكذب وتكلموا بالصدق كل واحد مع قريبه. لاننا بعضنا اعضاء البعض.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akawaambia mfano huu: "je, kipofu anaweza kumwongoza kipofu mwenzake? la! wote wataanguka shimoni.

Arabic

وضرب لهم مثلا. هل يقدر اعمى ان يقود اعمى. أما يسقط الاثنان في حفرة.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hakuna mtu atakayemfundisha mwananchi mwenzake, wala atakayemwambia ndugu yake: mjue bwana. maana watu wote, wadogo na wakubwa, watanijua mimi.

Arabic

ولا يعلّمون كل واحد قريبه وكل واحد اخاه قائلا اعرف الرب لان الجميع سيعرفونني من صغيرهم الى كبيرهم.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini kama huyo mwanamume akiamua kwa hiari moyoni mwake kutooa na kama anaweza kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya kufanya, basi, anafanya vizuri zaidi asipomwoa huyo mwenzake bikira.

Arabic

واما من اقام راسخا في قلبه وليس له اضطرار بل له سلطان على ارادته وقد عزم على هذا في قلبه ان يحفظ عذراءه فحسنا يفعل.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, ikiwa yule asiyeamini anataka kumwacha mwenzake aliye mkristo, basi, na amwache tu. hapo huyo mkristo, mume au mke, atakuwa huru. maana mungu amewaiteni ninyi muishi kwa amani.

Arabic

ولكن ان فارق غير المؤمن فليفارق. ليس الاخ او الاخت مستعبدا في مثل هذه الاحوال. ولكن الله قد دعانا في السلام.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,781,117,246 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK