Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa kweli, siyo kila mmoja aliyeshitushwa na shambulizi hili.
#مصر #لبنان #سوريا
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
gavana wa jimbo la carabobo, francisco ameliach, ametwajwa kuwa mtu aliye nyuma ya shambulizi hilo kwenye maandamano jijini valencia.
وتتوالى احتجاجات الحزن والغضب على تويتر التي تتهم فرنشيسكو أمليش، حاكم ولاية كارابوبو، بكونه المسؤول الرئيسي لقمع مظاهرات فلنسيا.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@ahrar_murqoban: maafisa wa polisi wanaoweka maslahi yao mbele wakijiandaa kufanya shambulizi la kushitukiza katika nyumba huko sitra
@maryamalkhawaja: قوات الأمن تعتدي على النساء برشّهم بمادة حارقة فى وجوههم دون سبب.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
bila kujali mashaka dhidi ya wanajeshi waislamu yaliyokuwapo kabla ya shambulizi hili, mtu anaweza kuwa na hofu kwamba mashaka hayo yamepata msukumo mpya baada ya mauaji ya watu kule fort hood. maswali bado yanaendelea kuibuliwa endapo meja hassan alikuwa mwenye siasa kali na ambaye alifanya mashambulizi hayo kwa msukumo wa itikadi ya kidini au labda tu alikuwa na tatizo la kiakili.
مهما كان وضع الشكوك حول المسلمين قبل حادثة إطلاق النار، الشيء الوحيد الأكيد والذي يخشى منه هو أنّ هذه الشكوك ستتضاعف، ولا تزال الأسئلة تدور حول ما إذا كان الرائد نضال حسن متطرفاً قام بالهجوم بناء على أيديولوجية دينية، أو أنّه ببساطة مختل عقلياً.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
shambulizi la upigaji risasi la kushtukiza lililofanywa na mwanajeshi wa jeshi la marekani, meja nidal malik hassan, na kusababisha vifo vya watu 13 na kujeruhi wengine 31 katika kambi ya kijeshi ya fort hood, jimbo la texas, kwa mara nyingine limesababisha waislamu nchini marekani kumulikwa - hasa wale wanaolitumikia jeshi.
أصبح المسلمون في تكساس محوراً للاهتمام مرة أخرى، خصوصاً أولئك الذين يخدمون في الجيش، وذلك بعد حادثة اطلاق النار من قبل الرائد نضال حسن، الذي قتل 13 وجرح 31 في فورت هود.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: