From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
"nakwambia simama, chukua mkeka wako uende nyumbani!"
لك اقول قم واحمل سريرك واذهب الى بيتك.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lakini simama sasa, uingie mjini na huko utaambiwa unachopaswa kufanya."
فقال وهو مرتعد ومتحيّر يا رب ماذا تريد ان افعل. فقال له الرب قم وادخل المدينة فيقال لك ماذا ينبغي ان تفعل.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
halafu akamwambia huyo mtu, "simama, uende zako; imani yako imekuponya."
ثم قال له قم وامض. ايمانك خلصك
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
sasa basi, ya nini kukawia zaidi? simama ubatizwe na uondolewe dhambi zako kwa kuliungama jina lake.
والآن لماذا تتوانى. قم واعتمد واغسل خطاياك داعيا باسم الرب
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ni lipi lililo rahisi zaidi: kusema, umesamehewa dhambi, au kusema, simama utembee?
أيما ايسر ان يقال مغفورة لك خطاياك. أم ان يقال قم وامش.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ni lipi lililo rahisi zaidi: kusema, umesamehewa dhambi zako, au kusema, simama, utembee?
ايما ايسر ان يقال مغفورة لك خطاياك. ام ان يقال قم وامش.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
akasema kwa sauti kubwa, "simama wima kwa miguu yako!" huyo mtu aliyelemaa akainuka ghafla, akaanza kutembea.
قال بصوت عظيم قم على رجليك منتصبا. فوثب وصار يمشي.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
haidhuru, inuka sasa; simama wima. nimekutokea ili nikuweke rasmi kuwa mtumishi wangu. utawathibitishia watu wengine mambo uliyoyaona leo na yale ambayo bado nitakuonyesha.
ولكن قم وقف على رجليك لاني لهذا ظهرت لك لانتخبك خادما وشاهدا بما رأيت وبما ساظهر لك به
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, mimi nikauliza: nifanye nini bwana? naye bwana akaniambia: simama, nenda damasko na huko utaambiwa yote ambayo umepangiwa kufanya.
فقلت ماذا افعل يا رب. فقال لي الرب قم واذهب الى دمشق وهناك يقال لك عن جميع ما ترتب لك ان تفعل.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, nataka mjue kwamba mwana wa mtu anao uwezo wa kusamehe dhambi duniani." hapo akamwambia huyo mtu aliyepooza, "simama, chukua kitanda chako uende zako nyumbani."
ولكن لكي تعلموا ان لابن الانسان سلطانا على الارض ان يغفر الخطايا قال للمفلوج لك اقول قم واحمل فراشك واذهب الى بيتك.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting