Results for vyakula translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

video: usambazaji vyakula katika kambi ya yarmouk-syria

Arabic

فيديو: توزيع المواد الغذائية في مخيم اليرموك في سوريا

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, kuhusu vyakula vilivyotambikiwa sanamu, twajua kwamba sanamu si kitu duniani; twajua kwamba mungu ni mmoja tu.

Arabic

فمن جهة اكل ما ذبح للاوثان نعلم ان ليس وثن في العالم وان ليس اله آخر الا واحدا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini ninayo machache dhidi yako: baadhi yenu ni wafuasi wa balaamu aliyemfundisha balaki kuwatega wana wa israeli wale vyakula vilivyotambikiwa sanamu za kufanya uzinzi.

Arabic

ولكن عندي عليك قليل. ان عندك هناك قوما متمسكين بتعليم بلعام الذي كان يعلّم بالاق ان يلقي معثرة امام بني اسرائيل ان يأكلوا ما ذبح للاوثان ويزنوا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, basi, msikubali kupewa masharti na mtu yeyote kuhusu vyakula au vinywaji, siku za sherehe, sikukuu ya mwezi mpya au sabato.

Arabic

فلا يحكم عليكم احد في اكل او شرب او من جهة عيد او هلال او سبت

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini nina hoja moja juu yako: wewe unamvumilia yule mwanamke yezabeli anayejiita nabii wa mungu. yeye huwafundisha na kuwapotosha watumishi wangu wafanye uzinzi na kula vyakula vilivyotambikiwa sanamu.

Arabic

لكن عندي عليك قليل انك تسيّب المرأة ايزابل التي تقول انها نبية حتى تعلّم وتغوي عبيدي ان يزنوا ويأكلوا ما ذبح للاوثان.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu hao hufundisha kwamba ni makosa kuona na pia kula vyakula fulani. lakini mungu aliviumba vyakula hivyo, ili wale walio waumini na ambao wanapata kuujua ukweli, wavitumie kwa shukrani.

Arabic

مانعين عن الزواج وآمرين ان يمتنع عن اطعمة قد خلقها الله لتتناول بالشكر من المؤمنين وعارفي الحق.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana, mtu ambaye dhamiri yake ni dhaifu, akikuona wewe mwenye ujuzi unakula vyakula hivyo ndani ya hekalu la sanamu, je, hatatiwa moyo wa kula vyakula vilivyotambikiwa sanamu?

Arabic

لانه ان رآك احد يا من له علم متكئا في هيكل وثن أفلا يتقوى ضميره اذ هو ضعيف حتى يأكل ما ذبح للاوثان

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waziri huyo wa zamani wa afya alihamasisha matumizi ya vyakula kama vile beetroot, vitunguu saumu na vinginevyo kama tiba ya vvu na ukimwi, jambo lililosababisha watu kumbatiza jina la "dkt beetroot", na zaidi ameshutumiwa kwa kusababisha mkanganyo kuhusu matumizi ya dawa za kurefusha maisha (arv).

Arabic

حيث كان يروج وزير الصحة السابق لجذر الشمندر والثوم وأطعمة أخرى كعلاج للإيدز، مما دفع الناس لتلقيبه بالدكتور جذر الشمندر، وقد وجهت له التهم بخلق الارتباك حول العقارات المضادة للفيروسات.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,913,971,135 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK