Results for wahafidhina translation from Swahili to Arabic

Swahili

Translate

wahafidhina

Translate

Arabic

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

woga wa kupoteza kura za wapiga kura wahafidhina kwa siku za mbeleni, inaonekana kwamba wanasiasa wa mrengo wa kushoto waliona ni bora kubaki kimya.

Arabic

يبدو أن خوف السياسيين اليساريين من فقدان الأصوات المحافظة في الانتخابات القادمة هو الذي دفعهم إلى التزام الصمت.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kama vile wanawake wote wa misri walikuwa wakiungoja muujiza huo wa bikra ya kutengeneza, wabunge wahafidhina wanataka bidhaa hiyo ipigwe marufuku na mwagizaji yoyete afukuzwe ama kukatwa kichwa.

Arabic

وانتفض أعضاء مجلس الشعب المحافظون لمنع المنتج والمطالبة بنفي وإعدام أي مستورد، وكأن النساء المصريات ينتظرن المنتج المعجزة الذي سيسهل لهن الجنس خارج نطاق الزواج.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@nezar: kituo cha jazeera kwa muda wa hivi karibuni kimekuwa cha kiislamu kama ambavyo fox news kimekuwa cha wahafidhina wa republican nchini marekani kwa miaka mingi.

Arabic

@nezar: تلفزيون الجزيرة في الآونة أصبح للإسلاميين في مصر حيث سبقته بعدة سنوات قناة فوكس نيوز بدعمها للجمهوريين الإصوليين في الولايات المتحدة الأمريكية

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama muislamu, ninajua kuwa qur’an inahubiri uadilifu katika kufanya mapenzi kwa wanaume na wanawake, lakini kushupaliwa huku kwa wanawake na wahafidhina kunamaanisha kuwa ni wanawake tu ambao wanatarajiwa kuzingatia makatazo juu ngono nje ya ndoa.

Arabic

كمسلمة، أعلم أن القرآن يدعو الى العفة بين الرجال والنساء، لكن هاجس المحافظة مع النساء فقط يعنى أن النساء متوقع منهم الالتزام بتحريم الجنس خارج نطاق الزواج.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati redio ya uholanzi ilporusha hewani tafsiri ya kiarabu kuhusu zana ya kutengeneza bikira ya bandia, pale gazeti la youm7 lilipotangaza kuwa bidhaa hiyo itaanza kupatikana kwenye soko la misri, wabunge wahafidhina huko misri walitaka bidhaa hiyo izuiwe na muagizaji yeyote afukuzwe nchini au akatwe kichwa, na habari hiyo ilipozua kelele kwenye ulimwengu wa blogu wa misri, mohamed al rahhal alinunua zana hiyo maalum ya kutengeneza bikira ya bandia.

Arabic

عندما بثت إذاعة راديو هولندا ترجمة بالعربية عن منتج غشاء البكارة الصناعي وأعلنت جريدة اليوم السابع أن هذا المُنتج سيكون مُتاح فى الأسواق المصرية بسعر 83 جنيه للعبوة الواحدة طلب عضو مجلس شعب مصري محافظ بمنع هذا المنتج من دخول البلاد ونفى المستورد خارج البلاد أو قطع رأسه وعندما كان ذلك سبباً فى حدوث ضجة فى عالم التدوين المصري، قرر محمد الرحّال شراء هذا المنتج.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,952,753,127 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK