Results for alikuwa translation from Swahili to Basque

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Basque

Info

Swahili

tangu mwanzo neno alikuwa na mungu.

Basque

hitz haur cen hatsean iaincoa baithan.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawakuelewa kwamba yesu alikuwa akisema nao juu ya baba.

Basque

etzeçaten eçagut ecen aitaz minço çayela.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye yesu alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake.

Basque

eta deithu içan cen iesus-ere, eta haren discipuluac ezteyetara.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipokuwa anasafiri, alikuwa akijisomea kitabu cha nabii isaya.

Basque

eta itzultzen cen iarriric cegoela bere carriot gainean, eta iracurtzen çuen esaias prophetá.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yuda wa yakobo na yuda iskarioti ambaye baadaye alikuwa msaliti.

Basque

iudas iacquesen anayea: eta iudas iscariot, traidore-ere içan cena)

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alikuwa na binti watatu ambao walikuwa na kipaji cha unabii.

Basque

eta hunec cituen laur alaba virgina prophetizatzen çutenic.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walivutiwa sana naye kwa vile alikuwa amewashangaza kwa uchawi wake kwa muda mrefu.

Basque

eta hari beha çaizcan ceren dembora lucez encantamenduz adimendutaric erauci baitzituen.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

timotheo alikuwa na sifa kubwa kati ya wale ndugu wa lustra na ikonio.

Basque

huni testimoniage on ekarten ceraucaten lystran eta iconion ciraden anayéc.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akajitupa chini mbele ya miguu ya yesu huku akimshukuru. huyo alikuwa msamaria.

Basque

eta egotz ceçan bere buruä ahozpez haren oinetara, esquerrac emaiten cerauzcala, eta haur cen samaritano.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

erasto alibaki korintho, naye trofimo nilimwacha mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.

Basque

erasto guelditu içan duc corinthen: eta trophimo mileten vtzi diat eria.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini, ingawa alikuwa mwana wa mungu, alijifunza kutii kwa njia ya mateso.

Basque

seme bacen-ere ikassi vkan baitu obedientiá suffritu vkan dituen gaucetaric:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonyesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni.

Basque

eta berceac tentatzen çutela, signo cerutic esquez çaizcan.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila wakati wa sikukuu ya pasaka, pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka.

Basque

eta bestan largatzen ohi cerauen presonerbat, ceinen-ere esca bailitez.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu kristo alikuwa mzawa wa daudi, mzawa wa abrahamu. hii ndiyo orodha ya ukoo wake:

Basque

iesvs christ dauid-en semearen, abrahamen semearen generationeco liburuä.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, siku wafu watakapofufuliwa, mwanamke huyo atakuwa mke wa nani? alikuwa ameolewa na wote saba."

Basque

resurrectionean bada hetaric ceinen emazte içanen da? ecen çazpiéc vkan dié hura emazte

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

alipojua kwamba yesu alikuwa chini ya utawala wa herode, akampeleka kwa herode, ambaye wakati huo alikuwa yerusalemu.

Basque

eta eçaguturic ecen hura herodesen iurisdictioneco cela, igor ceçan herodesgana, hura-ere ierusalemen cen egun hetan.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

heli alikuwa mwana wa mathati, mwana wa lawi, mwana wa melki, mwana wa yanai, mwana wa yosefu,

Basque

heli matthaten: matthat, leuiren: leui, melchiren: melchi, iannaren: ianna, iosephen:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipofika salami walihubiri neno la mungu katika masunagogi ya kiyahudi. yohane (marko) alikuwa msaidizi wao.

Basque

eta ethorri ciradenean salaminara denuntia ceçaten iaincoaren hitza iuduén synagoguetan: eta baçutén ioannes-ere lagun.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama saa moja baadaye, mtu mwingine akasisitiza, "hakika huyu alikuwa pamoja naye; ametoka galilaya ati."

Basque

eta quasi oren baten buruän, berce batec seguratzen çuen, cioela, segurqui haur-ere harequin cen: ecen galileano da.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

juu ya vazi lake, na juu ya mguu wake, alikuwa ameandikwa jina: "mfalme wa wafalme na bwana wa mabwana."

Basque

eta çuen bere veztidurán eta ichterrean scribuz icen haur, regven regvea, eta iavnen iavna.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,945,687,215 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK