Results for wakaogopa translation from Swahili to Bulgarian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Bulgarian

Info

Swahili

wanafunzi hawakufahamu jambo hilo. wakaogopa kumwuliza.

Bulgarian

Но те не разбраха думата, и бояха се да Го попитат.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanafunzi waliposikia hivyo wakaanguka kifudifudi, wakaogopa sana.

Bulgarian

И учениците, като чуха това, паднаха на лицата си, и много се уплашиха.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

malaika wa bwana akawatokea ghafla, na utukufu wa bwana ukawaangazia pande zote. wakaogopa sana.

Bulgarian

И на същото място имаше овчари, които живееха в полето, и пазеха нощна стража около стадото си.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao wakaogopa sana, wakawa wanaulizana, "huyu ni nani basi, hata upepo na mawimbi vinamtii?"

Bulgarian

И голям страх ги обзе; и те си казаха един на друг: Кой е, прочее, Тоя, че и вятърът и езерото Му се покоряват?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na lau kuwa wangeamini na wakaogopa , bila ya shaka malipo yatokayo kwa mwenyezi mungu yange kuwa bora . laiti wangeli kuwa wanajua !

Bulgarian

А ако вярваха и се бояха , награда от Аллах е най-доброто , ако знаеха .

Last Update: 2014-07-02
Usage Frequency: 2
Quality:

Swahili

wakamwendea yesu, wakamwona na mtu yuleyule aliyekuwa amepagawa na jeshi la pepo ameketi chini, amevaa nguo na ana akili yake sawa, wakaogopa.

Bulgarian

И като дохождат при Исуса, виждат хванатия по-преди от бесове, в когото е бил легиона, че седи облечен и смислен; и убояха се.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wakaja kuona yaliyotokea. wakamwendea yesu, wakamwona yule mtu aliyetokwa na pepo ameketi karibu na yesu, amevaa nguo, ana akili zake, wakaogopa.

Bulgarian

И като излязоха да видят станалото и дойдоха при Исуса, намериха човека, от когото бяха излезли бесовете, седнал при Исусовите нозе, облечен и смислен; и изплашиха се.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati huohuo, kukatokea tetemeko kubwa la ardhi, sehemu moja ya kumi ya ardhi ikaharibiwa. watu elfu saba wakauawa kwa tetemeko hilo la ardhi. watu waliosalia wakaogopa sana, wakamtukuza mungu wa mbinguni.

Bulgarian

И опашката му, като завлече третата част от небесните звезди, хвърли ги на земята; и змеят застана пред жената, която щеше да роди, за да изяде чадото й щом роди.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, jemadari na wale waliokuwa wakimlinda yesu walipoona tetemeko la ardhi na yale mambo yaliyotukia, wakaogopa sana, wakasema, "hakika mtu huyu alikuwa mwana wa mungu."

Bulgarian

А стотникът и ония, които заедно с него пазеха Исуса, като видяха земетресението и всичко що стана, уплашиха се твърде много, и думаха: Наистина тоя беше Син на Бога.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,946,671,898 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK