Results for safari translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

safari

Chinese (Simplified)

旅行

Last Update: 2012-02-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na katika safari hiyo ilimbidi apitie samaria.

Chinese (Simplified)

必 須 經 過 撒 瑪 利 亞

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.

Chinese (Simplified)

因为在冬季和夏季的旅行中保护他们,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

yesu akaendelea na safari, na watu wakatandaza mavazi yao barabarani.

Chinese (Simplified)

走 的 時 候 、 眾 人 都 把 衣 服 鋪 在 路 上

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

katika safari hiyo alipitia siria na kilikia akiyaimarisha makanisa.

Chinese (Simplified)

他 就 走 遍 敘 利 亞 、 基 利 家 、 堅 固 眾 教 會

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

nimefanya bidii katika mashindano, nimemaliza safari yote na imani nimeitunza.

Chinese (Simplified)

那 美 好 的 仗 我 已 經 打 過 了 . 當 跑 的 路 我 已 經 跑 盡 了 . 所 信 的 道 我 已 經 守 住 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

walipokikaribia kile kijiji walikokuwa wanakwenda, yesu akafanya kana kwamba anaendelea na safari;

Chinese (Simplified)

將 近 他 們 所 去 的 村 子 、 耶 穌 好 像 還 要 往 前 行

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

baada ya kukaa pale kwa muda, tulifunga mizigo yetu, tukaendelea na safari kwenda yerusalemu.

Chinese (Simplified)

過 了 幾 日 、 我 們 收 拾 行 李 上 耶 路 撒 冷 去

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi, wakaanza safari, wakapitia vijijini wakihubiri habari njema na kuponya wagonjwa kila mahali.

Chinese (Simplified)

門 徒 就 出 去 、 走 遍 各 鄉 、 宣 傳 福 音 、 到 處 治 病

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi, akawaacha, akapanda tena mashua, akaanza safari kwenda ng'ambo ya pili ya ziwa.

Chinese (Simplified)

他 就 離 開 他 們 、 又 上 船 往 海 那 邊 去 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

alikaa huko muda mfupi, halafu akaendelea na safari kwa kupitia sehemu za galatia na frugia akiwatia moyo wafuasi wote.

Chinese (Simplified)

住 了 些 日 子 、 又 離 開 那 裡 、 挨 次 經 過 加 拉 太 和 弗 呂 家 地 方 、 堅 固 眾 門 徒

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

baada ya sikukuu, walianza safari ya kurudi makwao, lakini yesu alibaki yerusalemu bila wazazi wake kuwa na habari.

Chinese (Simplified)

守 滿 了 節 期 、 他 門 回 去 、 孩 童 耶 穌 仍 在 耶 路 撒 冷 . 他 的 父 母 並 不 知 道

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

lakini wao waliendelea na safari toka pisga hadi mjini antiokia pisidia. siku ya sabato waliingia ndani ya sunagogi, wakakaa.

Chinese (Simplified)

他 們 離 了 別 加 往 前 行 、 來 到 彼 西 底 的 安 提 阿 . 在 安 息 日 進 會 堂 坐 下

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

walipo kwisha pita alimwambia kijana wake: tupe chakula chetu cha mchana. kwa hakika tumepata machofu kweli kwa hii safari yetu.

Chinese (Simplified)

当他俩走过去的时候,他对他的僮仆说:拿早饭来吃!我们确实疲倦了。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

itakuwa kama mtu anayeondoka nyumbani kwenda safari akiwaachia watumishi wake madaraka, kila mmoja na kazi yake; akamwambia mlinzi wa mlango awe macho.

Chinese (Simplified)

這 事 正 如 一 個 人 離 開 本 家 、 寄 居 外 邦 、 把 權 柄 交 給 僕 人 、 分 派 各 人 當 作 的 工 、 又 吩 咐 看 門 的 儆 醒

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

hata hivyo, kwa leo, kesho na kesho kutwa, ni lazima niendelee na safari yangu, kwa sababu si sawa nabii auawe nje ya yerusalemu.

Chinese (Simplified)

雖 然 這 樣 、 今 天 明 天 後 天 我 必 須 前 行 . 因 為 先 知 在 耶 路 撒 冷 之 外 喪 命 是 不 能 的

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

"waheshimiwa, nahisi kwamba safari hii itakuwa ya shida na hasara nyingi si kwa shehena na meli tu, bali pia kwa maisha yetu."

Chinese (Simplified)

眾 位 、 我 看 這 次 行 船 、 不 但 貨 物 和 船 要 受 傷 損 、 大 遭 破 壞 、 連 我 們 的 性 命 也 難 保

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na baina yao na miji mingine tuliyo ibariki tuliweka miji iliyo dhaahiri, na tukaweka humo vituo vya safari. tukawaambia: nendeni humo usiku na mchana kwa amani.

Chinese (Simplified)

我在他们与我所福佑的那些城市之间,建设了许多显著的城市,我均分各站间的距离。你们在其间平安地旅行若干昼夜吧!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

baada ya miezi mitatu tulianza tena safari yetu kwa meli moja ya aleksandria iitwayo "miungu pacha". meli hiyo ilikuwa imetia nanga kisiwani wakati wote wa baridi.

Chinese (Simplified)

過 了 三 個 月 、 我 們 上 了 亞 力 山 太 的 船 、 往 前 行 . 這 船 以 丟 斯 雙 子 為 記 、 是 在 那 海 島 過 了 冬 的

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na mwenyezi mungu amekujaalieni majumba yenu yawe ni maskani yenu, na amekujaalieni kutokana na ngozi za wanyama nyumba mnazo ziona nyepesi wakati wa safari zenu na wakati wa kutua kwenu. na kutokana na sufi zao na manyoya yao na nywele zao mnafanya matandiko na mapambo ya kutumia kwa muda.

Chinese (Simplified)

真主以你们的家为你们安居之所,以牲畜的皮革,为你们的房屋,你们在起程之日和住定之日,都感觉其轻便。他以绵羊毛、骆驼毛和山羊毛供你们织造家俱和暂时的享受。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
9,163,626,548 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK