From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
basi, wayahudi wakasema, "tazameni jinsi alivyompenda!"
nato su idovi govorili: "gle, kako ga je ljubio!"
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
basi, mafarisayo wakatoka nje, wakashauriana jinsi watakavyomwangamiza yesu.
a farizeji iziðoe i odrae vijeæanje protiv njega, kako da ga pogube.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wale watu walioshuhudia tukio hilo waliwaeleza hao jinsi yule mtu alivyoponywa.
a oèevici im ispripovijedie kako je opsjednuti ozdravio.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini wao wakakasirika sana, wakajadiliana jinsi ya kumtendea yesu maovu.
a oni se, izbezumljeni, poènu dogovarati to da poduzmu protiv isusa.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kwani wataona jinsi mwenendo wenu ulivyo safi na wa kumcha mungu.
poto promotre vae bogoljubno i èisto ivljenje.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
tazameni jinsi nilivyoandika kwa herufi kubwa, kwa mkono wangu mwenyewe.
gledajte kolikim vam slovima piem svojom rukom.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha, mafarisayo wakaenda zao, wakashauriana jinsi ya kumnasa yesu kwa maneno yake.
tada farizeji odoe i odrae vijeæe kako da isusa uhvate u rijeèi.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ninao ubatizo ambao inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!
ali krstom mi se krstiti i kakve li muke za me dok se to ne izvri!"
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kama mkiwakosesha ndugu zenu jinsi hiyo na kuzijeruhi dhamiri zao dhaifu, mtakuwa mmemkosea kristo.
tako grijeeæi protiv braæe i ranjavajuæi njihovu nejaku savjest, protiv krista grijeite.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
jinsi yona alivyokuwa ishara kwa watu wa ninewi, ndivyo pia mwana wa mtu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki.
doista, kao to je jona bio znak ninivljanima, tako æe biti i sin Èovjeèji ovomu narataju."
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
simoni ameeleza jinsi mungu hapo awali alivyojishughulisha na watu wa mataifa mengine, akachagua baadhi yao wawe watu wake.
imun je izloio kako se bog veæ na poèetku pobrinu izmeðu pogana uzeti narod imenu svojemu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mavazi yake yakang'aa, yakawa meupe sana, jinsi dobi yeyote duniani asingeweza kuyafanya meupe.
i haljine mu postadoe sjajne, bijele veoma - nijedan ih bjelilac na zemlji ne bi mogao tako izbijeliti.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
saulo alizidi kupata nguvu, na kwa jinsi alivyothibitisha wazi kwamba yesu ndiye kristo, wayahudi wa huko damasko walivurugika kabisa.
savao pak, sve silniji, zbunjivae idove koji prebivahu u damasku dokazujuæi: "ovo je krist!"
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"wayahudi wanajua habari za maisha yangu tangu utoto, jinsi nilivyoishi tangu mwanzo kati ya taifa langu huko yerusalemu.
"dakle, ivot moj od najranije mladosti proveden u narodu mojem, u jeruzalemu, znaju svi idovi.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
baadhi ya wanafunzi walikuwa wanazungumza juu ya hekalu, jinsi lilivyopambwa kwa mawe ya thamani, pamoja na sadaka zilizotolewa kwa mungu. yesu akasema,
i dok su neki razgovarali o hramu, kako ga resi divno kamenje i zavjetni darovi, reèe:
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
angalieni maua jinsi yanavyomea. hayafanyi kazi wala hayafumi. hata hivyo, nawahakikishieni kwamba hata solomoni mwenyewe na fahari zake zote hakupata kuvikwa vizuri kama ua mojawapo.
promotrite ljiljane, kako niti predu niti tkaju, a kaem vam: ni salomon se u svoj svojoj slavi ne zaodjenu kao jedan od njih.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alipokuwa anatoka hekaluni, mmoja wa wanafunzi wake alimwambia, "mwalimu, tazama jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo ya ajabu!"
kad je izlazio iz hrama, rekne mu jedan od njegovih uèenika: "uèitelju, gledaj! kakva li kamenja, kakvih li zdanja!"
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
baada ya siku kadhaa, paulo alimwambia barnaba, "turudi tukawatembelee wale ndugu katika kila mji tulikolihubiri neno la bwana tukajionee jinsi wanavyoendelea."
nakon nekog vremena reèe pavao barnabi: "vratimo se i pohodimo braæu po svim gradovima u kojima smo navjeæivali rijeè gospodnju, da vidimo kako su!"
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kuwa na huzuni jinsi atakavyo mungu, husababisha badiliko la moyo, badiliko lenye kuleta wokovu; hivyo hakuna sababu ya kujuta. lakini huzuni ya kidunia huleta kifo.
jer alost po boju raða neopozivo spasonosnim obraæenjem, a alost svjetovna raða smræu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa msaada wa neema aliyonipa mungu, nimefaulu, kama mwashi stadi mwenye busara, kuweka msingi ambao juu yake mtu mwingine anajenga. basi, kila mmoja awe mwangalifu jinsi anavyojenga juu yake.
po milosti bojoj koja mi je dana ja kao mudri graditelj postavih temelj, a drugi naziðuje; ali svaki neka pazi kako naziðuje.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: