From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
zamani mungu aliruhusu kila taifa lifanye lilivyopenda.
on je u prolim naratajima pustio da svi pogani poðu svojim putovima.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kama wangalikuwa wanaifikiria nchi walikotoka zamani, wangalipata nafasi ya kurudi huko.
dakako, da su mislili na onu iz koje su izili, imali bi jo prilike vratiti se u nju.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, ile amri ya zamani ilifutwa kwa sababu ilikuwa hafifu na isiyofaa kitu.
dokida se dakle prijanja uredba zbog njezine nemoæi i beskorisnosti -
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hapo zamani, mungu alisema na babu zetu mara nyingi kwa namna nyingi kwa njia ya manabii,
vie puta i na vie naèina bog nekoæ govorae ocima po prorocima;
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini mtu asiye na sifa hizo ni kipofu, hawezi kuona na amesahau kwamba alikwisha takaswa dhambi zake za zamani.
a tko toga nema, slijep je, kratkovidan; zaboravio je da je oèiæen od svojih prijanjih grijeha.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mungu alikuwa ameazimia tangu zamani kutuleta kwake kama watoto wake kwa njia ya yesu kristo. ndivyo alivyopenda na kunuia.
u ljubavi nas predodredi za posinstvo, za sebe, po isusu kristu, dobrohotnoæu svoje volje,
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ni lazima yeye abaki huko mbinguni mpaka utakapofika wakati wa kurekebishwa vitu vyote, kama mungu alivyosema kwa njia ya manabii wake watakatifu wa tangu zamani.
njega treba da nebo pridri do vremena uspostave svega to obeæa bog na usta svetih proroka svojih odvijeka."
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mwanangu timotheo, nakukabidhi amri hii kufuatana na maneno ya unabii yaliyosemwa zamani juu yako. yatumie maneno hayo yawe silaha yako katika kupigana vita vizuri,
taj ti zadatak predajem, sine timoteju, u skladu s prorotvima nekoæ nad tobom izreèenima: na njih oslonjen, bij boj plemeniti
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wapenzi wangu, amri hii ninayowaandikieni si amri mpya; ni amri ileile ya zamani mliyokuwa nayo tangu mwanzo. amri hiyo ya zamani ni ule ujumbe mliousikia.
ljubljeni, piem vam ne novu zapovijed, nego staru zapovijed, koju ste imali od poèetka. ta stara zapovijed jest rijeè koju ste èuli.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani mungu alinena, nazo mbingu na nchi zikaumbwa. dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji;
ta oni naumice zaboravljaju da nebesa bijahu odavna i da zemlja na boju rijeè posta iz vode i po vodi.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
zamani kidogo, kulitokea mtu mmoja jina lake theuda, akajisema kuwa mtu wa maana na watu karibu mia nne wakajiunga naye. lakini aliuawa, kisha wafuasi wake wote wakatawanyika na kikundi chake kikafa.
ta prije nekog vremena podie se teuda tvrdeæi da je netko, i uza nj prista oko èetiri stotine ljudi. bi smaknut i sve mu se pristae razbjegoe i netragom ih nesta.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mungu alimtoa yesu kusudi, kwa damu yake, awe njia ya kuwaondolea watu dhambi zao kwa imani yao kwake. alifanya hivyo ili apate kuonyesha kwamba yeye ni mwadilifu. hapo zamani mungu alikuwa mvumilivu bila kuzijali dhambi za watu;
njega je bog izloio da krvlju svojom bude pomirilite po vjeri. htio je tako oèitovati svoju pravednost kojom je u svojoj boanskoj strpljivosti proputao dotadanje grijehe;
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ninyi mlio kwa asili watu wa mataifa mengine--mnaoitwa, "wasiotahiriwa" na wayahudi ambao hujiita, "waliotahiriwa," (kwa sababu ya kile wanachoifanyia miili yao) --kumbukeni mlivyokuwa zamani.
spominjite se stoga da nekoæ bijaste neznaboci u tijelu - neobrezanicima su vas zvali oni koji se zovu obrezani, rukom, na tijelu -
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting