Results for kila kitu ni sawa translation from Swahili to Danish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Danish

Info

Swahili

kila kitu ni sawa

Danish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Danish

Info

Swahili

basi, mtu asijivunie watu. maana kila kitu ni chenu.

Danish

derfor rose ingen sig af mennesker! alle ting ere jo eders,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilikuwepo pale na nilishuhudia kila kitu.

Danish

jeg var der og så det hele.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pimeni kila kitu: zingatieni kilicho chema,

Danish

prøver alt, beholder det gode!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama yesu alivyokuwa amewaambia; wakaandaa karamu ya pasaka.

Danish

og de gik hen og fandt det således, som han havde sagt dem; og de beredte påskelammet.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila kitu alichoumba mungu ni chema, wala hakuna kinachohitaji kukataliwa, bali vyote vipokelewe kwa sala ya shukrani,

Danish

thi al guds skabning er god, og intet er at forkaste, når det tages med taksigelse;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanafunzi wakaondoka, wakaenda mjini, wakakuta kila kitu sawa kama yesu alivyokuwa amewaambia. wakaandaa karamu ya pasaka.

Danish

og hans disciple gik bort og kom ind i staden og fandt det, således som han havde sagt dem; og de beredte påskelammet.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuwageuzia kibao wahanga wa ubakaji kuwa ndio wanaosababisha wabakwe ni sawa na kumlaumu aliyeuawa kwa kuuawa

Danish

betyder det ikke, at hun siger ja!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zaidi ya hayo yote, zingatieni upendo kwani upendo huunganisha kila kitu katika umoja ulio kamili.

Danish

men over alt dette skulle i iføre eder kærligheden, hvilket er fuldkommenhedens bånd.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jitahidi kumsaidia mwana sheria zena na apolo ili waweze kuanza ziara zao na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji.

Danish

zenas den lovkyndige og apollos skal du omhyggeligt hjælpe på vej, for at intet skal fattes dem.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mfalme atawajibu, kweli nawaambieni, kila kitu mlichomtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu wadogo, mlinitendea mimi.

Danish

og kongen skal svare og sige til dem: sandelig, siger jeg eder: hvad i have gjort imod een af disse mine mindste brødre, have i gjort imod mig.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini msaidizi, roho mtakatifu, ambaye baba atamtuma kwa jina langu, atawafundisheni kila kitu na kuwakumbusheni yote niliyowaambieni.

Danish

men talsmanden, den helligånd, som faderen vil sende i mit navn, han skal lære eder alle ting og minde eder om alle ting, som jeg har sagt eder.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mpate kutambua jinsi uwezo wake ulivyo mkuu mno kwa ajili yetu sisi tunaoamini. uwezo huo unaofanya kazi ndani yetu, ni sawa na nguvu ile kuu mno

Danish

og hvilken hans krafts overvættes storhed er over for os, som tro, alt efter hans styrkes vældige virkekraft,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu mapinduzi yanamaanisha kubadilisha kila kitu kinachopaswa kubadilihswa, na tunatetea wazo la kupingana na ubepari, tunatetea jamii ya kimapinduzi na kidemokrasia.

Danish

fordi revolution er at ændre alt det, som bør blive ændret, forsvarer vi ideen om et antikapitalistisk, revolutionært og demokratisk samfund.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, komesheni kabisa kila kitu kilicho ndani yenu ambacho chahusika na mambo ya kidunia: uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambao ni sawa na kuabudu sanamu).

Danish

så døder da de jordiske lemmer, utugt urenhed, brynde, ondt begær og havesygen, som jo er afgudsdyrkelse;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuna kiumbe chochote kilichofichika mbele ya mungu; kila kitu kimefunuliwa wazi mbele ya macho yake. kwake, sisi sote tutapaswa kutoa hoja ya matendo yetu.

Danish

og ingen skabning er usynlig for hans Åsyn; men alle ting ere nøgne og udspændte for hans Øjne, hvem vi stå til regnskab.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu hao ambao hutukana chochote kile wasichoelewa, ni sawa na wanyama wasio na akili, ambao huzaliwa na baadaye hukamatwa na kuchinjwa! wataangamizwa kutokana na uharibifu wao wenyewe,

Danish

men disse ligesom ufornuftige dyr, der af natur ere fødte til at fanges og ødelægges, skulle de, fordi de bespotte, hvad de ikke kende, også ødelægges med hines Ødelæggelse,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini mtu anayeangalia kwa makini sheria kamilifu ambayo huwapa watu uhuru, mtu anayeendelea kuizingatia, na si kuisikia tu na kuisahau baadaye, bali anaitekeleza, mtu huyo atabarikiwa katika kila kitu anachofanya.

Danish

men den, som skuer ind i frihedens fuldkomne lov og holder ved dermed, så han ikke bliver en glemsom tilhører, men en gerningens gører, han skal være salig i sin gerning.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu watakapokuwa wanasema: "kila kitu ni shwari na salama" ndipo uharibifu utakapowaangukia ghafla! mambo hayo yatatukia ghafla kama uchungu wa uzazi unavyomjia mama anayejifungua, wala watu hawataweza kuepukana nayo.

Danish

når de sige: "fred og ingen fare!" da kommer undergang pludselig, over dem ligesom veerne over den frugtsommelige, og de skulle ingenlunde undfly.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

katika hali hii, hakuna tena tofauti kati ya mgiriki na myahudi, aliyetahiriwa na asiyetahiriwa, msomi na asiye msomi, mtumwa na mtu aliye huru. kristo ni kila kitu, na yumo katika yote.

Danish

hvor der ikke er græker og jøde, omskærelse og forhud, barbar, skyther, træl, fri, men kristus er alt og i alle.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wafanyakazi hao, wanaojulikana kama "journalia" kwa lugha ya mitaani, vile vile wamedai kutaka kuingia mkataba wa moja kwa moja na snim badala ya makampuni madogomadogo ambayo hulipa asilimia 40 tu ya mshahara wa mfanyakazi wa snim, kitu wanacho wanaona ni sawa na biashara ya binadamu na aina mpya ya utumwa.

Danish

arbejderne, kendt som "journalia" i den lokale dialekt, ønsker også en direkte kontrakt med snim i stedet for kontrakter med outsourcing-firmaer, der kun betaler 40% af snims lønninger til hver arbejder, hvilket de opfatter som menneskehandel (trafficking) og en ny form for slaveri.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,774,329,792 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK