Results for mungu nipokee wewe ni wa translation from Swahili to Danish

Swahili

Translate

mungu nipokee wewe ni wa

Translate

Danish

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Danish

Info

Swahili

hapo nathanieli akamwambia, "mwalimu, wewe ni mwana wa mungu. wewe ni mfalme wa israeli!"

Danish

nathanael svarede ham: "rabbi! du er guds søn, du er israels konge."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

@pebblesproject: @cameronvdburgh wewe ni shujaa wetu.

Danish

han er også sydafrikas første mandlige olympiske guldmedaljevinder.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini ninyi ni wa kristo naye kristo ni wa mungu.

Danish

men i ere kristi, og kristus er guds.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, wale wanaoteseka kufuatana na matakwa ya mungu, wanapaswa, kwa matendo yao mema, kujiweka chini ya muumba wao ambaye ni wa kuaminika kabisa.

Danish

derfor skulle også de, som lide efter guds villie, befale den trofaste skaber deres sjæle, idet de gøre det gode.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pilato akamwuliza yesu, "wewe ni mfalme wa wayahudi?" yesu akamjibu, "wewe umesema."

Danish

men pilatus spurgte ham og sagde: "er du jødernes konge?" og han svarede og sagde til ham: "du siger det."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wakamjibu, "wengine wanasema wewe ni yohane mbatizaji, wengine eliya na wengine mmojawapo wa manabii."

Danish

og de sagde til ham: "johannes døberen; og andre: elias; men andre: en af profeterne."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

alisema pia mahali pengine: "wewe ni kuhani milele, kufuatana na utaratibu wa ukuhani wa melkisedeki."

Danish

som han jo også siger et andet sted: "du er præst til evig tid, efter melkisedeks vis,"

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ikiwa ninyi ni wa kristo, basi ni wazawa wa abrahamu, na mtapokea yale aliyoahidi mungu.

Danish

men når i høre kristus til, da ere i jo abrahams sæd, arvinger ifølge forjættelse.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

usemi huu ni wa kweli: "ikiwa tulikufa pamoja naye, tutaishi pia pamoja naye.

Danish

den tale er troværdig; thi dersom vi ere døde med ham, skulle vi også leve med ham;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nao wakamwuliza, "wewe ni nani?" yesu akawajibu, "nimewaambieni tangu mwanzo!

Danish

de sagde da til ham: "hvem er du?" og jesus sagde til dem: "just det, som jeg siger eder.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ndipo ibilisi akamwambia, "kama wewe ni mwana wa mungu, amuru jiwe hili liwe mkate."

Danish

og djævelen sagde til ham: "dersom du er guds søn, da sig til denne sten, at den skal blive brød."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wewe ni nani hata uthubutu kumhukumu mtumishi wa mwingine? akisimama au akianguka ni shauri la bwana wake; naam, atasimama imara, maana bwana anaweza kumsimamisha.

Danish

hvem er du, som dømmer en andens tjener? for sin egen herre står eller falder han; men han skal blive stående, thi herren er mægtig til at lade ham stå.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao wakamjibu, "wengine wanasema kuwa wewe ni yohane mbatizaji, wengine wanasema wewe ni eliya, hali wengine wanasema kuwa wewe ni mmoja wa manabii wa kale ambaye amefufuka."

Danish

men de svarede og sagde: "johannes døberen; men andre: elias; men andre: en af de gamle profeter er opstanden."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mtumiaji wa twita, @redparco aliwakumbusha wale wasiokubaliana na suala la wanawake wa jamii ya watu wa korea ya kusini ambao hawajaolewa kuwa ni watu wasiotaka mabadiliko na ni wa mfumo dume.

Danish

twitterbrugeren @redparco påmindede folk om den sociale stigmatisering af ugifte kvinder der besøger gynækologer i det sydkoreanske samfund, der stadig er forholdsvis konservativ og patriarkalsk:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye akamwambia: vema; wewe ni mtumishi mwema. kwa kuwa umekuwa mwaminifu katika jambo dogo, utakuwa na madaraka juu ya miji kumi!

Danish

og han sagde til ham: vel, du gode tjener! efterdi du har været tro i det mindste, skal du have magt over ti byer.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akasema, "mdanganyifu wa kupindukia na mlaghai wewe! wewe ni mtoto wa ibilisi! wewe ni adui wa chochote kile kilicho cha kweli; hukomi hata mara moja kujaribu kuzipotosha njia za bwana zilizonyoka.

Danish

"o, du djævelens barn, fuld af al svig og al underfundighed, du fjende af al retfærdighed! vil du ikke holde op med at forvende herrens de lige veje?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hapo wote wakasema, "ndiyo kusema wewe ni mwana wa mungu?" naye akasema, "ninyi mnasema kwamba mimi ndiye."

Danish

men de sagde alle: "er du da guds søn?" og han sagde til dem: "i sige det; jeg er det."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hivi karibuni, gazeti la serikali ya cuba lilichapisha kwa kina maudhui ya sheria ya ya kazi na 116, na tungependa kuwa wazi kuhusu sababu za kutokuwepo kwa masuala kadhaa ambayo watu wengi wanegtamani kuyaona kwenye sheria hiyo, baada ya kujadiliwa na kupitishwa kwa sheria, na chombo cha juu kabisa chenye maamuzi ya kisheria, ambacho wewe ni kiongozi.

Danish

det officielle cubanske statstidende har lige offentliggjort den endelige tekst vedrørende arbejdslovgivningens lov nr. 116, og vi ønsker at belyse motiverne for manglen i de juridiske elementer, som mange personer håber at finde, efter diskussionen og godkendelsen af denne lov fra vores højeste lovgivende organ, som de leder.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,913,789,408 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK