From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
alimwokoa loti, mtu mwema, ambaye alisikitishwa sana na mwenendo mbaya wa watu hao waasi.
og udfriede den retfærdige lot, som plagedes af de ryggesløses uterlige vandel,
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wanajeshi waasi wametangaza kwamba wametwaa madaraka nchini mali , baada ya kukiteka kituo cha televisheni ya taifa pamoja na ikulu ya nchi hiyo.
deserterede soldater har meddelt, at de overtager magten i mali, efter at de har overtaget den statslige fjernsynsbygning og præsidentpaladset.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini kuhusu israeli anasema: "mchana kutwa niliwanyoshea mikono yangu watu waasi na wasiotii."
men om israel siger han: "den hele dag udstrakte jeg mine hænder imod et ulydigt og genstridigt folk."
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wanadai serikali ya rais amadou toumani touré imeshindwa kutoa ushirikiano kwa vikosi vyake kijeshi katika mapambano dhidi ya waasi wa tuareg kaskazini mwa nchi hiyo ambao wanataka kujitenga kutoka nchi hiyo.
de siger, at præsident amadou toumani tourés regering mislykkedes i at støtte deres tropper i en tiltagende voldelig kamp mod tuareg-rebeller i den nordlige del af landet , som truer med at løsrive sig fra mali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kampeni kwenye mitandao ya kijamii inayokusudia kuongeza uungwaji mkono wa harakati za kumkamata kiongozi wa waasi wa ki-ganda na mhalifu anayetafutwa kwa udi na uvumba joseph kony imechukua sura nyingine.
dette indlæg er en del af vores særlige dækning kony 2012.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini ninyi, wapenzi wangu, mmekwisha jua jambo hili. basi, muwe na tahadhari msije mkapotoshwa na makosa ya waasi, mkaanguka kutoka katika msimamo wenu imara.
da i altså, i elskede! vide det forud, såvogter eder, for at i ikke skulle rives med af de ryggesløses vildfarelse og affalde fra eders egen fasthed;
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mnamo tarehe 14 machi, 2012, mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ilimtia hatiani thomas lubanga, kiongozi wa zamani wa waasi huko kongo mashariki, kwa kuwatumia watoto katika mgogoro wa kivita – jambo linaloangukia miongoni mwa makosa ya kivita.
den 14. maj 2012 erklærede den internationale straffedomstol thomas lubanga, en tidligere oprørsleder i det østlige congo, skyldig i at bruge børn i væbnet konflikt – en krigsforbrydelse.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: