Results for amani furaha opendo mafanikio ya us... translation from Swahili to Dutch

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Dutch

Info

Swahili

amani furaha opendo mafanikio ya usalama

Dutch

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Dutch

Info

Swahili

watu wengi wana wasiwasi juu ya usalama wa mwandishi huyu wa habari.

Dutch

velen zijn bezorgd over de veiligheid van de journalist.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

majeshi ya usalama yamewashukia wanaandamanaji, na mtu mmoja aliuwawa mjini tehran leo.

Dutch

veiligheidstroepen hebben demonstranten hardhandig neergeslagen en minstens een persoon is gisteren in teheran gedood .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ikiwa anafikiri mafanikio ya muziki huo wa kikorea duniani kote yangewezekana pasipo mitandao ya kiraia na youtube.

Dutch

en denkt ze dat het wereldwijde succes van k-pop mogelijk zou zijn geweest zonder sociale media en youtube?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu ya the caribbean camera inaorodhesha mafanikio ya arrow katika muziki, lakini pia inachungulia upande mwingine wa mtu huyu:

Dutch

the caribbean camera somt arrows muzikale prestaties op, maar laat ook een ander kant van het leven van deze man zien:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kilichofuatia, serikali ilitambua mtu aliyekuwa akichukua filamu, na pia amer, raghda na walilazimika kwenda kuishi uhamishoni kwa ajili ya usalama wao.

Dutch

als resultaat komen de autoriteiten erachter wie hij aan het filmen was en amer, raghda en de kinderen worden gedwongen in ballingschap te gaan voor hun eigen veiligheid.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pamoja na kupata msaada wa watu maarufu na mafanikio ya filamu ya "difret," ashenafi na mandrefo wanasema kazi yao bado haijakamilika: wanakadiria kwamba si chini ya asilimia 20 ya ndoa kusini mwa athiopia zinatokana na mila inayofanana na telefa.

Dutch

ondanks de steun van een bekend persoon en het succes van "difret" zeggen ashenafi en mandrefo dat hun werk niet gedaan is: ze schatten dat minstens 20 procent van de huwelijken in het zuiden van ethiopië opgedrongen is door een of andere vorm van telefa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mnamo mwaka 2009, mafanikio ya kampeni na sherehe hizo za 46664 zilipiga hatua ya juu zaidi na kuwa kile kinachofahamika kama “mandela day”,yaani "siku ya mandela", ambayo ni siku wanayotumia watu kila mahali duniani kutoa dakika 67 kwa ajili ya kupafanya duniani kuwa mahali bora zaidi pa kuishi.

Dutch

in 2009 leidde het succes van de campagnes en vieringen in het kader van 46664 tot wat inmiddels mandela dag wordt genoemd, een dag waarop mensen over de hele wereld zich 67 minuten inzetten om de wereld te verbeteren voor iedereen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,774,337,174 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK