Results for [mwanya] translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mwanya

English

let things roll.

Last Update: 2023-02-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

walipoteza mwanya huo.

English

they blew it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuahirishwa kwa uchaguzi kunaweza kutoa mwanya kwa jonathan kurekebisha baadhi ya makosa aliyokwisha kuyafanya.

English

a postponement would provide an opportunity for jonathan to recover some lost grounds.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watu wengi wa misri walitumia mwanya huu kukejeli mapinduzi yao wenyewe, kama gepril thuwaiba anavyotwiti:

English

many egyptians used the opportunity to joke about their own revolution, like gepril thuwaiba who tweets:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa bahati mbaya, vikwazo kadhaa kutoka kwa watendaji wa serikali dhidi ya vyombo vya habari, hususani katika kipindi hiki, umetoa mwanya wa kuongezeka kwa hali ya sintofahamu kuhusiana na ugonjwa huu, na pia kuendelea kuongeza hali ya jamii kutokuamini uwepo wa ugojwa huu.

English

unfortunately, several actions against media by government actors, especially during these times, have simply given room to growing skepticism about the disease, and further exacerbating the denials within the community. we think this is unfair and improper.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,773,244,910 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK