Results for advocacy translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

sami ben gharbia kutoka tunisia alitueleza kuwa anajiuzulu nafasi ya mkurugenzi wa utetezi wa sauti za dunia, ama global voices advocacy.

English

sami ben gharbia from tunisia told us that he is stepping down from the position of director of global voices advocacy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zaidi ya kublogu, ghazzawi ni mtumiaji mkubwa wa twita ambaye amechangia sana kama mwandishi kwenye global voices online na global voices advocacy.

English

in addition to blogging, ghazzawi is an avid twitter user, who has contributed to both global voices online and global voices advocacy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

global voices advocacy ilianzisha mtandao wa tumblr mapema mwezi mei kutafuta uungwaji mkono kwa wanablogu tisa na waandishi wa habari - ambao wanne kati yao ni wanachama wa global voices - ambao kwa sasa wako kizuizini nchini ethiopia shauri ya kazi zao.

English

global voices advocacy started a tumblr in early may to rally support for nine bloggers and journalists — four of them global voices members — who are currently being detained in ethiopia because of their work.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

timu ya utetezi wa sauti za dunia (advocacy) imepiga hatua kubwa, kwa maudhui mapya, wanachama wengi wapya, na kuwa na dira ya dhati ya utendaji na mipango ya mwaka 2013.

English

gv advocacy’s community has prospered, with new content, many new members, and a strong sense of purpose and mission going into 2013.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,951,728,498 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK