From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
yeye ndiye aliye kuumbeni katika ardhi, na akakuwekeni humo.
he brought you forth from the earth and hath made you husband it.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
nyinyi hamna mungu ila yeye. yeye ndiye aliye kuumbeni katika ardhi, na akakuwekeni humo.
and to the thamud tribe, we sent their fellow man saleh; he said, “o my people!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
yeye ndiye aliye kuumbeni katika ardhi, na akakuwekeni humo. basi mwombeni msamaha, kisha mtubu kwake.
he brought you forth from the earth and settled you therein, then ask forgiveness of him and turn to him in repentance.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na kumbukeni alivyo kufanyeni wa kushika pahala pa a'adi na akakuwekeni vizuri katika nchi, mnajenga majumba ya fakhari katika nyanda zake, na mnachonga majumba katika milima.
"and remember when he made you successors after 'ad (people) and gave you habitations in the land, you build for yourselves palaces in plains, and carve out homes in the mountains.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
na kumbukeni alivyo kufanyeni wa kushika pahala pa a'adi na akakuwekeni vizuri katika nchi, mnajenga majumba ya fakhari katika nyanda zake, na mnachonga majumba katika milima. basi zikumbukeni neema za mwenyezi mungu wala msitende uovu katika nchi kwa ufisadi.
"and remember how he made you inheritors after the 'ad people and gave you habitations in the land: ye build for yourselves palaces and castles in (open) plains, and carve out homes in the mountains; so bring to remembrance the benefits (ye have received) from allah, and refrain from evil and mischief on the earth."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting