From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
alikuwa mja mzito, na akapaaza sauti kwa maumivu na uchungu wa kujifungua mtoto.
and she being with child cried, travailing in birth, and pained to be delivered.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha nikamwona malaika mwingine akipanda juu kutoka mashariki akiwa na mhuri wa mungu aliye hai. akapaaza sauti na kuwaambia hao malaika wanne waliokabidhiwa jukumu la kuiharibu nchi na bahari,
and i saw another angel ascending from the east, having the seal of the living god: and he cried with a loud voice to the four angels, to whom it was given to hurt the earth and the sea,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
hapo, mtu mmoja katika lile kundi akapaaza sauti, akasema, "mwalimu! ninakusihi umwangalie mwanangu--mwanangu wa pekee!
and, behold, a man of the company cried out, saying, master, i beseech thee, look upon my son: for he is mine only child.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
nyingine zilianguka katika udongo mzuri, zikaota na kuzaa asilimia mia." baada ya kusema hayo, akapaaza sauti, akasema, "mwenye masikio na asikie!"
and other fell on good ground, and sprang up, and bare fruit an hundredfold. and when he had said these things, he cried, he that hath ears to hear, let him hear.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting