Results for akiongea translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

abdoulaye wade akiongea mjini new york mwaka 2002.

English

abdoulaye wade speaking in new york in 2002.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanikumbuka mm niyule bro akiongea na ww jana usiku

English

they remember me mm bro bro talking to wewe last night

Last Update: 2020-01-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

anaielezea simu moja mojawapo akiongea na mke wa mjomba wake:

English

he describes one phone call with his uncle's wife:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

joyce banda akiongea katika kongamano la dfid la mwaka 2010.

English

joyce banda speaking at the dfid conference in 2010.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alikuwa akiongea peke yake kwa lugha za kreyle, kifaransa na kihispania huku akitumbukiza kiingereza.

English

he was talking to himself in kreyole, french, spanish with a sprinkling of english.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akiongea kwa lugha ya kichechnia, kadyrov anawatambulisha watu hao huku akiwa na taswara mbaya dhidi yao.

English

speaking chechen, kadyrov gestures to the men disapprovingly.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

a r rahman aliwashangaza na kuwachangamsha wote kwa kipaji chake cha muziki wakati akiongea pia sentensi za lugha ya kitamil.

English

one in particular, a r rahman, dazzled and charmed everyone with his musical genius while also speaking sentences in tamil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

priskila na akula walipomsikia akiongea kwa uhodari ndani ya sunagogi, walimchukua kwao wakamfundisha hiyo njia ya mungu kwa usahihi zaidi.

English

and he began to speak boldly in the synagogue: whom when aquila and priscilla had heard, they took him unto them, and expounded unto him the way of god more perfectly.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mamadou iam diallo, rais wa isoc mali, anaeleza mahitaji wanayohitaji kuyatatua kwa kutumia kompyuta hiyo akiongea na blogu ya bamako:

English

mamadou iam diallo, president of isoc mali, explains the needs they want to fulfill with this pc to bamako blog:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika zoezi la lugha ya asili, yeyote anayekubali zoezi hilo lazima arekodi video akiongea lugha yake ya asili na kumtaka mtu mwingine aongee vile alivyoongea yeye.

English

in the indigenous language challenge, the one who accepts the challenge must record a video speaking an indigenous language and tap someone else to do the same.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya siku chache, felisi alifika pamoja na mkewe drusila ambaye alikuwa myahudi. aliamuru paulo aletwe, akamsikiliza akiongea juu ya kumwamini yesu kristo.

English

and after certain days, when felix came with his wife drusilla, which was a jewess, he sent for paul, and heard him concerning the faith in christ.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alipokuwa bado akiongea, yairo akaletewa habari kutoka nyumbani: "binti yako ameshakufa, ya nini kumsumbua mwalimu zaidi?"

English

while he yet spake, there cometh one from the ruler of the synagogue's house, saying to him, thy daughter is dead; trouble not the master.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mgombea urais wa upinzani, jenerali (mstaafu) muhammadu buhari akiongea kwenye kongamano la raia wa afrika wanaoishi ughaibuni lililofanyika katika jiji la london.

English

the main opposition candidate general (rtd) muhammadu buhari speaking at african diaspora conference in london.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,906,783,813 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK