Results for alibaki translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

erasto alibaki korintho, naye trofimo nilimwacha mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.

English

erastus abode at corinth: but trophimus have i left at miletum sick.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya sikukuu, walianza safari ya kurudi makwao, lakini yesu alibaki yerusalemu bila wazazi wake kuwa na habari.

English

and when they had fulfilled the days, as they returned, the child jesus tarried behind in jerusalem; and joseph and his mother knew not of it.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

halafu alibaki mjane hadi wakati huo akiwa mzee wa miaka themanini na minne. wakati huo wote alikaa hekaluni akifunga na kusali usiku na mchana.

English

and she was a widow of about fourscore and four years, which departed not from the temple, but served god with fastings and prayers night and day.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwaka 2012, baada ya kuzindua albamu yake iliyokuwa inaonyesha maumivu ya kutengenana na kiongozi wake wa kiroho na shauku yake kubw aya umoja wa watibeti, alibaki kimya kwa muda mrefu.

English

back in 2012, after he released an album that expresses the pain of separation from his spiritual leader and a strong desire for tibetan unity, he disappeared for quite a lengthy period of time.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,885,220,764 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK