Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hata hivyo, wadzanai thembani alihoji:
however, wadzanai thembani, argued:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
juwelsm alihoji kwamba waafrika waanze kuamua mambo gani yana uzito kwao:
juwelsm argued that africans should drive their own narrative:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
azad essa wa al jazeera(@azadessa) alihoji tathmini ya umoja wa afrika kwa uchaguzi huo:
al jazeera's azad essa (@azadessa) questioned the african union's assessment of the election:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
"mimi ni mwafrika" alihoji kuwa mambo ya hisia za kijinsia ni ya kibinafsi na hayapaswi kuingiliwa:
"i am an african" argued that one's ideas of sexuality should not apply to other people's lives:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kwa mfano, mtumiaji wa livejournalegor sedov alihoji kwamba peskov alikuwa amemwaga petroli kwenye moto wa tetesi hizo na kuzifanya ziwe habari kubwa zaidi.
for instance, livejournal user egor sedov argued that peskov had only stoked the flames of the rumor and made it an even bigger story.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
daktari aye maung ambaye ni mbunge na rais wa chama cha rakhine nationalities development alihoji kuwa utoaji wa misaada unaweza kufanyika bila ya kuweka ofisi ya oic nchini:
dr. aye maung, a member of parliament and the president of the rakhine nationalities development party has argued that aid and donation can be delivered without setting up an oic office in the country:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hivi karibuni, chantra alihoji jukumu la washauri 164 wa chama kilicho madarakani kama wameshaishauri kwa makini serikali katika mambo fulani kama vile ya afya, elimu, mahakama, uwekezaji na mali asili.
recently, chantra questioned the role of 164 advisers of the ruling government and whether or not they have correctly advised the government on certain aspects such as health, education, judiciary, investment and the utilization of natural resource.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
radwa el-shami alihoji sababu zilizo nyuma ya idadi kubwa ya wagombea wanaoutaka urais nchini misri: idadi inaongezeka na nimeanza kujiuliza kwa makini dhamira na nia za kila mtu anayetaka kupanda kwenye kiti cha enzi cha misri.
radwa el-shami questioned the reason behind the huge number of candidates running for presidency in egypt: the number is increasing and i am seriously starting to question the intentions and motives of every person willing to ascend the throne of egypt.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: