Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na matakwa ya yule aliyenituma ndiyo haya: nisimpoteze hata mmoja kati ya wale alionipa, ila niwafufue wote siku ya mwisho.
and this is the father's will which hath sent me, that of all which he hath given me i should lose nothing, but should raise it up again at the last day.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, ninaandika barua hii nikiwa mbali, ili nitakapofika kwenu nisilazimike kuwa mkali kwenu kwa kutumia ule uwezo alionipa bwana; naam, uwezo wa kujenga na si wa kubomoa.
therefore i write these things being absent, lest being present i should use sharpness, according to the power which the lord hath given me to edification, and not to destruction.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kwenda kwangu kulitokana na ufunuo alionipa mungu. katika kikao cha faragha niliwaeleza hao viongozi ujumbe wa habari njema niliohubiri kwa watu wa mataifa. nilifanya hivyo kusudi kazi yangu niliyokuwa nimefanya, na ile ninayofanya sasa isije ikawa bure.
and i went up by revelation, and communicated unto them that gospel which i preach among the gentiles, but privately to them which were of reputation, lest by any means i should run, or had run, in vain.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
tena asema: "nitamwekea mungu tumaini langu." na tena: "mimi niko hapa pamoja na watoto alionipa mungu."
and again, i will put my trust in him. and again, behold i and the children which god hath given me.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting