From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mintarafu utakatifu wake wa kimungu, alithibitishwa kwa uwezo mkuu kwamba ni mwana wa mungu kwa kufufuliwa kutoka wafu.
and declared to be the son of god with power, according to the spirit of holiness, by the resurrection from the dead:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, jaribio la hatari zaidi lililofanywa na idara ya mahusiano ya umma ya rais ni picha ya rais sata akimwapisha mkuu wa masuala ya kisheria wa serikali musa mwenye ambaye alithibitishwa na bunge kwa nafasi ya mwanasheria mkuu wa serikali lakini hajaapishwa majuma kadhaa.
however, the most disastrous public relations stunt that spectacularly backfired was the picture of president sata swearing in then solicitor general musa mwenye who had been ratified by parliament for the position of attorney-general but had been unsworn for weeks on end.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hakuna mashaka yoyote juu ya ukuu wa siri ya dini yetu: alionekana katika umbo la kibinadamu alithibitishwa na roho kuwa ni mwadilifu, akaonekana na malaika. alihubiriwa kati ya mataifa, aliaminiwa popote ulimwenguni, akachukuliwa juu mbinguni katika utukufu.
and without controversy great is the mystery of godliness: god was manifest in the flesh, justified in the spirit, seen of angels, preached unto the gentiles, believed on in the world, received up into glory.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: