From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mchangiaji mmoja aliyejitambulisha kwa jina la "stoudemire" aliuliza swali hili:
one commenter by the name of "stoudemire" posed this question:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mfanyakazi huyo aliyeanzisha mtiririko huo wa mtandaoni na aliyejitambulisha kama sampan ruksa aliandika barua ya kuomba msamaha kwa kitendo chake.
sampan ruksa, the staff of the ministry who initiated the online thread, wrote an apology letter for his actions.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa mujibu wa akaunti yake ya facebook, aabdujalilova alikuwa ni mfuasi wa harakati hizo, na mtu aliyejitambulisha kwa jina muhammad salih alikuwa mmoja kati ya rafiki zake wa kwenye facebook.wanahabari wa mtandaoni na watumiaji wengine wa wavuti wanaamini kuwa hiyo ndio sababu iliyofanya binti huyu kuanza kutupiwa macho na mamlaka za uzbek.
according to her facebook account, abdujalilova was a supporter of this movement, and a person with the name muhammad salih was among her facebook friends. that was the reason, some netizens believe, that the young woman came to attention of the uzbek authorities.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kabla ya kuanza kwa mashindano ya sochi ya majira ya baridi takribani majuma mawili yaliyopita, mwandishi aliyejitambulisha kama wako mkweli (yours truly) aliliambia shirika la habari za kimataifa la marekani kwamba gahsia zinazoendelea nchini ukraini zingeweza kubadili uelekeo wa ufuatiliaji wa mashindano ya olimpiki kwa warusi wanaotumia intaneti.
before the sochi winter games kicked off less than two weeks ago, yours truly told us news & world report that unrest in ukraine might divert the attention of russian internet users from the olympics.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting