From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sasa timotheo amekwisha rudi, naye ametupa habari za kufurahisha kuhusu imani na upendo wenu. ametuarifu kwamba mnatukumbuka daima, na kwamba mna hamu ya kutuona sisi kama nasi tulivyo na hamu ya kuwaoneni.
but now when timotheus came from you unto us, and brought us good tidings of your faith and charity, and that ye have good remembrance of us always, desiring greatly to see us, as we also to see you:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
si tu kwa kule kuja kwake tito, bali pia kwa sababu ya moyo mliompa ninyi. yeye ametuarifu jinsi mnavyotamani kuniona, jinsi mlivyo na huzuni, na mnavyotaka kunitetea. jambo hili linanifurahisha sana.
and not by his coming only, but by the consolation wherewith he was comforted in you, when he told us your earnest desire, your mourning, your fervent mind toward me; so that i rejoiced the more.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: