From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ameumba mbingu na ardhi kwa haki.
he created the heavens and the earth with reason.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mwenyezi mungu ameumba mbingu na ardhi kwa haki.
(allah says to his prophet muhammad saw): "allah (alone) created the heavens and the earth with truth (and none shared him in their creation)."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
na mwenyezi mungu ameumba kila kinyama kutokana na maji.
allah created every animal from water.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni ni nani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi.
he created death and life so that he might test you, and find out which of you is best in conduct.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mwenyezi mungu ameumba mbingu na ardhi kwa haki. kwa hakika katika hayo ipo ishara kwa waumini.
allah created the heavens and the earth in true (proportions): verily in that is a sign for those who believe.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ameumba mbingu na ardhi kwa haki. hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku.
he created the heavens and earth in truth.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni ni nani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. na yeye ni mwenye nguvu na mwenye msamaha.
[he] who created death and life to test you [as to] which of you is best in deed - and he is the exalted in might, the forgiving -
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na mwenyezi mungu ameumba kila kinyama kutokana na maji. wengine katika wao huenda kwa matumbo yao, na wengine huenda kwa miguu miwili, na wengine huenda kwa miguu mine.
allah hath created every moving creature of water; of them is one that walketh upon his belly. and of them is one that walketh upon its two feet; and of them is one that walketh upon four.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: