From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ni wakati wa furaha, ni muda wa kujisikia fahari.
times of joy, times of pride #bangladesh #savar.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ni muda wa wiki tatu tangu mwandishi wa global voices alexander sodiqov kukamatwa mjini khorog, tajikistan, mke wake, musharraf, amemwona mara moja tu.
three weeks to the day since global voices author alexander sodiqov was arrested in khorog, tajikistan, his wife, musharraf, has seen him only once.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baadhi ya watu wanaamini kuwa, huu ni mwanzo wa mabadiliko barani afrika na ni muda wa kuwaondoa viongozi wazee na kuwapa nafasi vijana walipeleke bara la afrika kwenye mafanikio zaidi.
some people believe this is the beginning of change in africa and its time to get rid of the overly old leaders and allow young people to take the continent forward.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
miaka 5 inaweza ikawa ni muda wa muhimu sana katika maisha ya binaadamu, lakini katika maisha ya taifa (na taifa kama india) ni sawa tu na kupepeseka kwa jicho.
5 years may be significant time period in life of a man, but in life of a nation (that too a nation like india) is just a flickr of eye.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nadhani rais wa zamani rawlings atajifanyia vyema yeye mwenyewe na chama chake cha ndc kama ataonyesha tabia za kistaarabu – kwanza ni muda wa kuangaliwa wa miaka minne – uonekano wowote wa atta mills kama kibaraka na sio mtu anayejitegemea mwenyewe utatangaza kiama cha chama chake kwa ujumla na rawlings hasa hasa.
i think ex-president rawlings would do himself and the ndc party a world of good if he behaves in a more stately manner—after all it's just a probation period of 4years-any impression of atta mills being a stooge and not his own man would spell doom for the ndc party as a whole and rawlings in particular.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.