From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa maelezo mafupi mteja wetu anatakiwa kufanya taratibu zote za uingizaji in english
there are environmental laws that we can't dictate.
Last Update: 2024-11-22
Usage Frequency: 1
Quality:
na wengine wanadhani anatakiwa atumike kwenye matoleo mengine ya sesame street.
and still others think she should be introduced on other versions of sesame street.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
asante kwa msaada wako! boss lakini mama amekutwa na uvimbe anatakiwa kufanyiwa upasuaji
thank you for your help!
Last Update: 2024-11-21
Usage Frequency: 1
Quality:
kuanzia siku ya 1, kumekuwa na jitihada za makusudi kujaribu kudhibiti kile ambacho papa anatakiwa kukiona na kukisikia.
from day 1, there has been a conscious effort to regulate what the pope can see and hear.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kama jaji wa masuala ya amani, anatakiwa kuelewa kwamba ndoa za rangi tofauti si kinyume cha sheria tena – baada ya kuonekana ni kinyume cha katiba miaka 40 iliyopita.
as a justice of the peace, he should be aware that interracial marriage is not illegal anymore – having been deemed unconstitutional 40 years ago.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nimesoma na nikajiuliza kama ndugu bahati amewahi kuwa na fursa ya kukaa darasani maishani mwake, kwa kuzingatia kwamba isipokuwa awe mjinga aliyekubuhu, anatakiwa ajue kuwa hakuna vitabu vya sheria kwenye hukumu za kawaida za kisheria, (pamoja na uganda), ambavyo vinarejea kosa linaloitwa ‘ushoga’.
i read this and i wondered if the said mr bahati has ever had the opportunity to sit inside a classroom in his life, given that unless he is starkly illiterate, he ought to know that there are no law books in any common law jurisdiction, (including uganda), that refer to an offense known as 'homosexuality'.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.