Results for anza nasisi bwana mungu translation from Swahili to English

Swahili

Translate

anza nasisi bwana mungu

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

oh bwana mungu wangu

English

oh lord my god

Last Update: 2023-12-11
Usage Frequency: 2
Quality:

Swahili

atawaelekeza wengi wa watu wa israeli kwa bwana mungu wao.

English

and many of the children of israel shall he turn to the lord their god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini yesu akamjibu, "imeandikwa: usimjaribu bwana mungu wako."

English

and jesus answering said unto him, it is said, thou shalt not tempt the lord thy god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"asifiwe bwana mungu wa israeli, kwani amekuja kuwasaidia na kuwakomboa watu wake.

English

blessed be the lord god of israel; for he hath visited and redeemed his people,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu akamjibu, "imeandikwa: utamwabudu bwana mungu wako, na utamtumikia yeye peke yake."

English

and jesus answered and said unto him, get thee behind me, satan: for it is written, thou shalt worship the lord thy god, and him only shalt thou serve.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

sikuona hekalu katika mji huo, maana bwana mungu mwenye uwezo na yule mwanakondoo ndio hekalu lake.

English

and i saw no temple therein: for the lord god almighty and the lamb are the temple of it.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mpende bwana mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote.

English

and thou shalt love the lord thy god with all thy heart, and with all thy soul, and with all thy mind, and with all thy strength: this is the first commandment.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"mimi ni alfa na omega," asema bwana mungu mwenye uwezo, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja.

English

i am alpha and omega, the beginning and the ending, saith the lord, which is, and which was, and which is to come, the almighty.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu akamjibu, "ya kwanza ndiyo hii: sikiliza, israeli! bwana mungu wetu ndiye peke yake bwana.

English

and jesus answered him, the first of all the commandments is, hear, o israel; the lord our god is one lord:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hapo, yesu akamwambia, "nenda zako shetani! imeandikwa: utamwabudu bwana mungu wako na kumtumikia yeye peke yake."

English

then saith jesus unto him, get thee hence, satan: for it is written, thou shalt worship the lord thy god, and him only shalt thou serve.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wakisema: "bwana mungu mwenye uwezo, uliyeko na uliyekuwako! tunakushukuru, maana umetumia nguvu yako kuu ukaanza kutawala!

English

saying, we give thee thanks, o lord god almighty, which art, and wast, and art to come; because thou hast taken to thee thy great power, and hast reigned.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha malaika akaniambia, "maneno haya ni ya kweli na ya kuaminika. bwana mungu ambaye huwapa manabii roho wake, alimtuma malaika wake awaonyeshe watumishi wake mambo ambayo lazima yatukie punde.

English

and he said unto me, these sayings are faithful and true: and the lord god of the holy prophets sent his angel to shew unto his servants the things which must shortly be done.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana, ahadi ile ilikuwa kwa ajili yenu, kwa ajili ya watoto wenu, kwa ajili ya wote wanaokaa mbali; na kwa ajili ya kila mtu ambaye bwana mungu wetu atamwita kwake."

English

for the promise is unto you, and to your children, and to all that are afar off, even as many as the lord our god shall call.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

walikuwa wakiimba wimbo wa mose, mtumishi wa mungu, na wimbo wa mwanakondoo: "bwana mungu mwenye uwezo, matendo yako ni makuu mno! ewe mfalme wa mataifa, njia zako ni za haki na za kweli!

English

and they sing the song of moses the servant of god, and the song of the lamb, saying, great and marvellous are thy works, lord god almighty; just and true are thy ways, thou king of saints.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

viumbe hivyo vinne vilikuwa na mabawa sita kila kimoja, na vilikuwa vimejaa macho, ndani na nje. usiku na mchana, bila kupumzika huimba: "mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu ni bwana, mungu mwenye uwezo, aliyekuwako, aliyeko na anayekuja!"

English

and the four beasts had each of them six wings about him; and they were full of eyes within: and they rest not day and night, saying, holy, holy, holy, lord god almighty, which was, and is, and is to come.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,946,836,119 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK