Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mimi ninawabatizeni kwa maji kuonyesha kwamba mmetubu. lakini yule anayekuja baada yangu ana uwezo kuliko mimi. mimi sistahili hata kubeba viatu vyake. yeye atawabatizeni kwa roho mtakatifu na kwa moto.
i indeed baptize you with water unto repentance: but he that cometh after me is mightier than i, whose shoes i am not worthy to bear: he shall baptize you with the holy ghost, and with fire:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
hapo yohane akawaambia wote, "mimi ninawabatiza kwa maji, lakini anakuja mwenye uwezo zaidi kuliko mimi ambaye sistahili hata kumfungulia kamba za viatu vyake. yeye atawabatizeni kwa roho mtakatifu na kwa moto.
john answered, saying unto them all, i indeed baptize you with water; but one mightier than i cometh, the latchet of whose shoes i am not worthy to unloose: he shall baptize you with the holy ghost and with fire:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting