From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na bustani zenye miti iliyo songana baraabara,
and burgeoning enclosed gardens
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
haimfalii nabii yeyote kuwa na mateka mpaka awe ameshinda baraabara katika nchi.
a prophet may not take captives until he has thoroughly decimated [the enemy] in the land.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
basi ukifika muda wao basi hakika mwenyezi mungu ni mwenye kuwaona waja wake baraabara.
and when their time comes, indeed, allah is the seer of his worshipers.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini yeye anawachukulia mpaka ufike muda maalumu. basi ukifika muda wao basi hakika mwenyezi mungu ni mwenye kuwaona waja wake baraabara.
but he respites them until a specified time, and when their time comes, [he retributes them in accordance with their works], for allah has been watching his servants.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
haimfalii nabii yeyote kuwa na mateka mpaka awe ameshinda baraabara katika nchi. mnataka vitu vya dunia, na mwenyezi mungu anataka akhera.
it does not befit any prophet to capture the disbelievers alive until he has profusely shed their blood in the land; you people desire the wealth of this world; and allah wills the hereafter, and allah is almighty, wise.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wote hao si sawa sawa. miongoni mwa watu wa kitabu wamo watu walio simama baraabara, wanasoma aya za mwenyezi mungu nyakati za usiku, na pia wanasujudu.
all of them are not alike; among the people given the book(s) are some who are firm on the truth – they recite the verses of allah in the night hours and prostrate (before him).
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: