From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
waa is barani doonaa
waa is
Last Update: 2023-09-21
Usage Frequency: 1
Quality:
uanaharakati na umama barani asia
activism and motherhood in asia · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
matukio haya ni mengi barani kote.
cases throughout the continent are many.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maelfu ya wafanyakazi waandamana barani asia
photos: thousands of workers march for rights across southeast asia · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
borneo ni kisiwa kikubwa zaidi barani asia.
borneo is the largest island in asia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kupigia kura maajabu saba ya dunia barani afrika
voting for the seven natural wonders of africa · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
rais robert mugabe ni mtawala mzee kuliko wote barani afrika.
president robert mugabe is the oldest leader in africa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
unataka kuuona mji huru wa kwanza wa kiafrika barani amerika?
want to see the first free african town in the americas?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
elimu ni nyanja ambayo inahitaji msaada barani, hasa huko vijijini.
education is an area with much need of intervention on the continent, especially rural africa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati huo huo, wanawake wengi wanaharakati barani asia wanaendelea kukabili mateso.
meanwhile, many activist mothers in asia still face persecution.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
huenda ukawa mbaya zaidi wakati wa uchaguzi ujao wa ubunge na wa manispaa barani ulaya.
it might also take a turn for the worse during the next european parliamentary and municipal elections.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa sasa, uwezo na uzalishaji wa nishati barani kote ni karibu sawa na ule wa ujerumani na kanada.
at present, continent-wide installed capacity and power generation are roughly equivalent to those of germany or canada.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jambo lenyewe lililochaguliwa -changamoto ya umeme barani afrika- linao umuhimu mkubwa.
the issue selected – africa’s electricity challenge – is clearly a vital one.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
barani afrika, wanablogu wanatoa heshima za mwisho kwa mfalme wa pop kwa kutundika picha na video za muziki.
in africa, bloggers are paying tribute to the king of pop by posting pictures and music videos.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
chaguzi barani afrika ni suala lenye hatari zake na katika nyakati za hivi karibuni, chaguzi zimekuwa kichocheo cha migogoro.
elections in africa are a high risk affair and in the recent times, they have been a trigger of conflicts.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@ictjournalist: @gndhlovu namkumbuka kama mtu ambaye alianzisha mapinduzi barani afrika ambayo yameenea kila sehemu
@ictjournalist: @gndhlovu i remember him as a person who who started a revolution in africa which has spread all over
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alipochaguliwa kwa mara ya kwanza kulikuwa na shangwe barani kote, na huenda kwa matarajio yasiyo halisi kwamba angepigania maslahi ya afrika katika uso wa kimataifa.
when he was first elected there were celebrations across the continent, and perhaps unrealistic expectations that he would champion african interests on the world stage.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
barani afrika hali ni tofauti, kama kusema "lugha inayozungumzwa zaidi" maana yake ni kuhesabu idadi ya wazungumzaji.
in africa this often is not the case, if by "most spoken" one counts number of speakers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the art of ama ata aidoo, inasaili mchango wa kisanii wa mmoja wa waandishi wanawake mashuhuri barani afrika, anayeongoza kizazi hiki kwa kipaji kipya cha pekee.
the art of ama ata aidoo, explores the artistic contribution of one of africa's foremost women writers, a trailblazer for an entire generation of exciting new talent.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
assane fall-diop anaweka muhtasari wa jitihada ambazo bado zinahitajika kufikia mfumo wa kweli wa ustawi wa jamii barani afrika: :
assane fall-diop summarizes the struggles that are still needed to achieve a real social welfare system in africa :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: